Recent content by Mwakyambange umwifyusi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Steve Nyerere aongea na Wanahabari, amkaanga Wema Sepetu na Mama yake, Wasanii hawaidai CCM

    Ila Steve anaishi maisha ya aibu sana, utadhani mtoto wa kike vile
  2. M

    JamiiForums Tanzania Jina la Mkuu limepotea JF

    Nani walikataa mkuu?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mzee wa Upako: Sinywi pombe, ila nakunywa wine

    [emoji23] [emoji23] [emoji99]
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mzee wa Upako: Sinywi pombe, ila nakunywa wine

    kwa taarifa yako mimi sio muumini wake nimejikita katika kuzungumzia pombe kama ni dhambi ama la, pia hilo la pili kama kakutwa na mke wa mtu sina ushahidi nalo tumekatazwa kuongea uongo, mi ni Jw(Jehovah witnessed) kwa hiyo mi nimemnukuu yeye alivyosema kama kuna mwenye ushahidi na hill...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2019 ipigwe kura ya maoni, Rais Magufuli aruhusiwe akae hadi 2035

    Halafu awa ndio wanajiita ma- great thinker kaona kaumiza sana akili kwa ujinga huo anaopendekeza.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mzee wa Upako: Sinywi pombe, ila nakunywa wine

    sawa wa kabila langu, nitajie kabila lako lisilotumia pombe. Ukishindwa kufanya hivyo utàkuwa, mmbeya,mfitini na mnafiki ama una hila na maisha ya watu wengine.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mzee wa Upako: Sinywi pombe, ila nakunywa wine

    hata kama anakunywa sio dhambi kunywa pombe, pia kahoji kuwa kuna mtu mwenye ushahidi kuwa anakunywa pombe gani na mahali gani?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wazungu nawapendea hapa tu ( Everton Luiz), Lazima watakukumbusha wewe ni nani!

    kama hana laana vile, bila kuwakashifu chadema ni kama hawezi kwenda haja. yaani jamaa ni mjinga kupindukia
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kanda ya ziwa zinaitwa sungwi,huko pengine zinaitwaje?

    masasati
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2019 ipigwe kura ya maoni, Rais Magufuli aruhusiwe akae hadi 2035

    sawa tunajua kuwa we ni kada mtiifu wa ccm. na una mahaba ya dhati juu ya Magufuli, swali jiulize huo ujinga unaotamani uwe hivyo, je kama Mwinyi, Mkapa na Kikwete wangefanya hayo unayopendekeza, Magufuli ungempata wapi? maana nyinyi ccm hao watangulizi wa magufuli wote mliwasifu na kuwapamba...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa umri huu Rais Mugabe kile kimugabe chake bado kipo active?

    Usipanic usheshi tu tunataniana
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Kikatiba: Makonda, Sirro na Wambura wakataa kupokea wito wa Mahakama 'summons'

    ushachangia mkuu, kama ikitokea kupigwa penalt wachangiaji wa Uzi huu, basi jua fika nawe millioni saba zitakuhusu.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa umri huu Rais Mugabe kile kimugabe chake bado kipo active?

    Hakuna kitu kama hicho, sema mnafuata maslahi wazee washajichumia mali kibao mnaongwa vi- vitz na kupangishiwa nyumba za maana, kwanini usiwasifie? Mi kijana nimekuonga pesa ndefu basi ni30000 utaniona wa maana? ila kwa show nipe siku moja. Na uhakika hivyo vilaki laki anavyokuachia mzee utakuwa...
Back
Top Bottom