Nakumbuka hata kipindi cha mikutano yenu ya dodoma siye tulikuwa kimya, mkajisemeza mbona Ukawa kimya ?, vyombo vya habari vyote ni ccm mpaka mkahisi upinzani umepotea. Mlipomaliza mambo yenu ndiyo tukaja na kasi ya ajabu mpaka mkachanganikiwa na hii kitu haijawatoka kichwani. Sasa tukianza...
naskia tu maccm yanasema mafuriko jangwani, sumbawanga, katavi na tunduma ila hayasemi kitu gani kinazungumziwa huko. Nimeona sumbawanga wananch walianza kutawanyika kabla pombe hajamaliza kuhutubia. Lichama lile lile, mijitu ile ile, sera zile zile. Pumbavuuuu kabisa hayana hata aibu
Mtoa mada hata kuandika hujui maskini wa akili wewe. Nilijua umekomaa kisiasa kubwa kubwa jinga. Hizo habari kapost fb mkoment na marafiki zako wapumbavu
Kweli demokrasia hakuna hapa nchini. Halafu mara zote najiuliza kwanini ccm wanahofu sana na Chadema/Ukawa ?. Uwanja wa taifa wamewakatalia, na tena jangwani wanataka kuwakatalia. Kwa upumbavu wanaofanya chama tawala ukihama chama wanakununia na mpaka wanakutukana matusi. Sijawah kuichukia ccm...
Simba timu mbovu sana kuanzia uongozi mpaka wachezaji, kazi yao kuchagua viongozi wenye gubu , pia inasajili wachezaji waliongoza kufunga magoli kwenye ligi za nje bila kufanya utafiti wa kutosha kwamba walibahatisha au juhudi zao binafsi. Pia Simba imeathirika kisaikolojia kwa kushindwa kufanya...
hahahahahah !, ila nashukuru umeelewa kuwa maccm yameshindwa kuleta maisha bora kwa watanzania ndiyo mana magufuli hawezi kukanyaga kwa watanzania wenye dhiki. Anakaa pale jukwani akicheka cheka na upara wake wakati kuna watu wanashinda na njaa
Hi ! kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Nahitaji sana mwanamke mwenye maumbile makubwa, awe mnene kiasi, maziwa makubwa, matako makubwa.
Mimi nipo Dar na kwa mawasiliano zaidi ni PM na huko tutapatiana namba.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.