Dalili mbaya za kushindwa kwa ukawa/chadema

Dalili mbaya za kushindwa kwa ukawa/chadema

Chadema Hata Tusipo Fanya Kampeni Kabisa Shida Haipo Wananchi Walishaelewa Kazi Tuliyoifanya Toka 2010 Si Ya Kitoto, Nzuri Zaidi Magufuli Mwenyewe Anatusaidia Cc Ndio Maana Anaongelea Makosa Ya Selikali Mfano Tembo Kukosa Dawa Mahospalini Mafisadi Rushwa Nk Bila Shaka Hizo Ni Sela Za Upinzani
 
Pole sana Mugisher. Hiyo ndiyo mipango yenyewe. Ngoja CCM wasogeee kidogo uone mambo!!!! Na hii ndiyo strategy ya ushindi.
 
Last edited by a moderator:
Nakumbuka hata kipindi cha mikutano yenu ya dodoma siye tulikuwa kimya, mkajisemeza mbona Ukawa kimya ?, vyombo vya habari vyote ni ccm mpaka mkahisi upinzani umepotea. Mlipomaliza mambo yenu ndiyo tukaja na kasi ya ajabu mpaka mkachanganikiwa na hii kitu haijawatoka kichwani. Sasa tukianza kampeni ndiyo tutawavuruga akili zenu.
 
Unadhani UKAWA watawagawia pesa mifukoni.USITAKE KUTUPUMBAZA NA SEHEMU WEWE UNADHANI WANA MAENDELEO MFANO MBY ARUSHA DAR KWA TAARIFA SOMA HISTORIA YA NCHI HII.NA HAYA MAENDELEO YOTE UNAYOYAONA TANZANIA NCHI YETU YAMELETWA CHINI YA UONGOZI WA CCM.NA HAYO MAPUNGUFU UNAYOYAONA ILANI YA CHAMA IMEYAELEZA NA DR.MAGUFULI ATAYAREKEBISHA NA KULETA USTAWI MPYA WA JAMII.
 
Mugisher

Acha kujidanganya, kwanza hali halisi ilivyo ni kama vile CCM ndio hawajazindua kampeni, au wewe hulioni hilo???
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom