Recent content by Mwakitombeo

  1. Mwakitombeo

    JamiiForums Tanzania Kulegezwa mapambano dhidi ya VVU Ukimwi, tujiandae kwa janga kubwa kwa taifa miaka michache ijayo

    wewe unaweza kuwa mwamfu je mkeo maana wanandoa weng uletewa na wapenz wao
  2. Mwakitombeo

    JamiiForums Tanzania Ombi La kuonana na Rais Mstaafu Kikwete

    Kazi kwelikweli
  3. Mwakitombeo

    JamiiForums Tanzania Polisi jamii kukamata vyombo vya Moto na kubambikiza watu kazi

    Naomba mnieleweshe kidogo yawezekana ufahamu wangu mdogo Katika pitapita zangu mikoa ya Dodoma, Tabora na Morogoro nimekutana na hawa watu wanaojiita polisi jamii wakiratibu shughuli za Jeshi la Polisi. Sio vibaya kama wana vibari na wanazingatia sheria. Kuna vitendo vingi sana vinafanyika na...
  4. Mwakitombeo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kosea vyote lakini sio kuoa au kuolewa. Najuta

    Pole sana
  5. Mwakitombeo

    JamiiForums Tanzania Je, Kuna uwezekano wa kuongeza Members zaidi ya 256 kwenye kundi la WhatsApp?

    tumia gb whatsap au fm whatsap
  6. Mwakitombeo

    JamiiForums Tanzania Makala dhidi ya Maambukizi mapya ya ukimwi

    Matukio ya kujinyonga kwa wanafunzi yamekua mengi sana wakisingizia mapenzi je ndani ya mapenzi kuna sababu nyingi tu kwa chuo kama sua aipiti mwaka wamejinyonga wanafunzi 4
  7. Mwakitombeo

    JamiiForums Tanzania Makala dhidi ya Maambukizi mapya ya ukimwi

    selikali yakijnga sana nashindwa ata kuilewa inaimidha watu wakapime ili wakibainika watumie arv wanashindwa kutoa elimu ya kutosha jinsi ya kujikinga na ukimwi sio wote wenye uwelewa kwa rika la vijana wa (m15-24-30) bado nakua na maswali mengi sana wausika wako bize na mambo yakijinga
  8. Mwakitombeo

    JamiiForums Tanzania Je, hii ni hali ya kawaida kwa wale wenye uzoefu?

    Ni baba yako mzazi ongea nae akuna unacho kilisi hapo wazee kuna sehemu wanabugi wanapo pewa choo kikubwa akili inaama
  9. Mwakitombeo

    JamiiForums Tanzania Biashara gani halali yenye faida ya haraka within 1 week return?

    sifahamu upo mkoa gan na je apo ulipo kuna soko lenye mznguko wa bihashara na je wewe una mtaji wa sh ngap
  10. Mwakitombeo

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya kutengeneza chanjo za COVID-19, Moderna inatarajia kuanza majaribio ya Chanjo za UKIMWI mwezi huu

    Sasa amboa wanao watachanjwa kama ilivyo colona
  11. Mwakitombeo

    JamiiForums Tanzania Biashara gani halali yenye faida ya haraka within 1 week return?

    Ndugu nakupa aiba ya bihashara za magenge kwenye masoko ni moja y a biashar zilizo niinua kwa mtaji mdogo sana.
Back
Top Bottom