Recent content by Mwakipanya

  1. M

    Kikwete: Wanaokwepa Kodi hawataacha kirahisi, Magufuli endeleza mapambano

    Hana huzarendo wowote kikwete. Alikwenda Ikulu kutimiza ndoto zake, NA SIO KUENDELEZA TAIFA. Siasa imemjaa, vijembe sana. Anajiaibisha tu, acheni kumtetea.
  2. M

    Mjue Edward Lowassa: Hii ni CV yake

    Binafsi namkubali ZAIDI YA Magufuri. Lowasa ndio chaguo letu Ukawa
  3. M

    Hivi Watangazaji wa Clouds FM wana shida gani?

    SHIDA YAO WANA MASLAHI YA CHAMA,Bila kujari Maslahi ya NCHI. ''Lazima wakumbuke, na Wajue kuwa MUNGU NDIO ANAE TAWALA SIO CHAMA FULANI''. Hapo walikosea na hawana jipya
  4. M

    Lowassa ana bahati sana, sababu Magufuli hafai

    Lazima akate tamaa, MAANA VIJANA TUMECHOKA NA CCM Na kwamba Walidharau sana wananchi na HADI WALIMKUFURU MUNGU WA MAJESHI KWA KUSEMA, '' Eti CCM ita tawala Milele'',baadhi ya VIONGOZI WA CCM WALIKUWA WAKITAMBA. Basi hapana shaka kama alivyokaondolewa MADALAKANI Nebukadreza na Mungu NDIVYO...
  5. M

    Paul Makonda kafanya mengi acheni kulalama

    Kafanya mengi yapi???, kupiga domo ajiri ya kuisaidia ccm iongeze siku za kuishi,WAKATI WANA WA ISAKALI wajuao KUSOMA ALAMA za nyakati wanafahamu kuwa ccm INAENDA KABULINI??. Yaonyeshe aliyoyafanya YANAYO SHIKIKA HASWA. Kwangu sina wivu ila saa za ccm zinahesabika,ni uchaguzi mbaya tena ni...
  6. M

    Kuteswa kwa Kibanda kumeacha alama nyingi za ikulu

    Serikali yoyote DUNIANI ambayo ilitumia MKONO WA DAMU ktk kuwafunga watu MIDOMO,hiyo Dola HAIKUDUMU. Ikumbukwe kutumia KUTESA,KUPIGA,KUJERUHI MTU NA UNYAMA WOWOTE UNAO FANANA NA HUU,Sio siraha ktk kunyamazisha JAMII ISISEME KILE WANACHO KIONA KWA MACHO KUWA SI SAHII. Kwa mtazamo wangu TUNAPASWA...
  7. M

    Kuteswa kwa Kibanda kumeacha alama nyingi za ikulu

    INASIKITISHA SANA SANA SANA.WAKATI FULANI UNAPO FIKIRI KUHUSU HATIMA YA Tz UNAJIKUTA MACHOZI MAZITO YENYE UCHUNGU MKUBWA JUU YA JAMII,NA MFUMO NZIMA WA UTAWALA WA NCHI YETU.Tuiombee kwa machozi nchi yetu ili MUNGU ATUEPUSHE NA MAJANJA mbalimbali.
  8. M

    Kuteswa kwa Kibanda: Ridhiwani na Nape matatani!

    SAA ZA UTAWALA WA Ccc meu UNAESABIKA BILA WASIWASI.NAAMINI 2015 UTAKUWA MWISHO,KAMA MUNGU AISHIE MILELE ASIVYO BADILIKA BASI Ndivyo awezi kuwaacha wanyonge wakiangamia.Nape na Ridh1 SI WAKWELI.TUNAAMINI SAA YA UKOMBOZI Inakalibia.
  9. M

    Lowassa: Kikwete, unda Tume kuchunguza Matokeo mabaya ya Kidato cha Nne

    SHIDA yote Lowasa anaijua angekuwa hajui ASINGEPELEKA WATOTO Wake kusoma NJE YA NCHI.Haya matume ya nn...?JAMBO LINGINE Hiki chama cha mwawao mweu HAKINA UWEZO WA KUFIKIRI VIZURI.TUME NGAPI ZIMEUNDWA NA ZILIMEFANYA Nnnn?.NCHI IMEWASHINDA NA WANAPASWA KUACHIA NGAZI KWANI,Wanaandaa TAIFA LA WATU...
  10. M

    MAKINDA: Hoja za LISSU ni kutafuta Umaarufu tu

    ACHA NISEME Mie mwana wa KIPANYA.... NINASIKITIKA SANA,NA NINAPATA MAUMIVU MAKUBWA SANA NINAPOONA Mhe.Spika wetu wa Bunge letu Tukufu ni KIPOFU wa Macho ya Rohoni..... Naamini LISU atafuti UMAARUFU isipokuwa ANASIMAMA ktk HOJA za Msingi.So kusema Lisu anatafuta umaarufu ni KUTO KUJUA KUSOMA...
  11. M

    Ridhiwani akanusha kuhusika na tanzania loan society

    SAA AMBAYO MUNGU WA WANYONGE ATAKAPO SIMAMA NDANI YA NCHII HII NA KWELI HAWA WATU WAMEKUWA NI KAWAIDA YAO. Kweli kbs kwnn ASIAMBIWE MTU YOYOTE ILA AWE Ridhiwani??????.....,WATU HUFIKILI,HUONA PICHA YA MAMBO MAZITO YANAYOENDELEA NDANI YA NCHI HII,Lakini UKWELI Unakuja KTK SAA CHACHE KTK USO WA...
  12. M

    ITV napendekeza iwe TV ya taifa

    Mara nyingi huwa sipendi kuangali hii inayoitwa TBC,Coz ina Uchama sn.Km vp usijisumbue kuangalia hiyo kitu
  13. M

    Japan yaipa tafu Tanzania ujenzi wa barabara za juu

    NI KWELI KAMA NI MTANZANIA UNAO ONA MBELE BAADA YA MIAKA 50 IJAYO,LAZIMA UPATE MAUMIVU.Kwani kila kukicha Viongozi wa nchi hii hupewa Misaada(Mm sijui km Misaada kwl au Mikopo yenye Riba),Lkn Mambo hayawekwi wazi.LAZIMA ITUUME Kbs.
  14. M

    JK amteua Dr Migiro kuwa Mkuu wa OUT

    Kwa upande wng naona ni mama nzr kbs,ILa Mfumo wa Uongozi ktk kila eneo ndani ya Nchi yetu,Umemezwa na KUTOLEWA NA MAAMUZI YA KISIASA ZAIDI.So Hataweza
Back
Top Bottom