ITV napendekeza iwe TV ya taifa

ITV napendekeza iwe TV ya taifa

Wazo zuri halafu isiwe inapokea matangazo kama mmiliki wake alivyotoa maoni kwenye tume ya katiba
 
Kwa mtizamo wangu ITV ya bwana Mengi nimetokea kuipenda kwa sababu ina utaifa wa kweli wa bila kupendelea upande wowote na zaidi imekuwa mstari wa mbele kulinda na kutetea maadili ya nchi na mengine mengi ni tofauti na inayoitwa TBC ambayo imekuwa kama tv ya chama badala ya umma

Kua televisheni ya Taifa haimaanishi kutembelea magari yenye namba za STK, SU n.k..Kua televisheni ya taifa ni matendo - Dr.Kitila Mkumbo (14/ 10/2011)- Nkurumah Hall
 
Mara nyingi huwa sipendi kuangali hii inayoitwa TBC,Coz ina Uchama sn.Km vp usijisumbue kuangalia hiyo kitu
 
Kwa mtizamo wangu ITV ya bwana Mengi nimetokea kuipenda kwa sababu ina utaifa wa kweli wa bila kupendelea upande wowote na zaidi imekuwa mstari wa mbele kulinda na kutetea maadili ya nchi na mengine mengi ni tofauti na inayoitwa TBC ambayo imekuwa kama tv ya chama badala ya umma

Acha ujinga wewe ulisikia wapi TV ya taifa ya nchi yoyote inapatikana kwa mapendekezo ya kilofa? Basi pendekeza hospitali za India ziwe hospitali za Taifa.
 
Kua televisheni ya Taifa haimaanishi kutembelea magari yenye namba za STK, SU n.k..Kua televisheni ya taifa ni matendo - Dr.Kitila Mkumbo (14/ 10/2011)- Nkurumah Hall
Jikomboe ki akili ndugu yangu sio kili analo sema doctor ndo lakukariri. Akili za kuambiwa na wewe ongezea za kwako!
 
Back
Top Bottom