Recent content by mwakilyambiti

  1. mwakilyambiti

    JamiiForums Tanzania Mume wa Zari wa zamani adai Latifah ni mwanae

    Technically how? Kwamba viuno alikata yeye au ile sperm ilikuwa ya kwake?
  2. mwakilyambiti

    JamiiForums Tanzania Mume wa Zari wa zamani adai Latifah ni mwanae

    Apewe talaka kwa ndoa gani aliyofunga na Ivan? Jifunze kutofautisha kati ya kuwa wazazi na wanandoa! Wangekuwa wanandoa ungeona wanaongelea masuala ya divorce ila kwavile ni wazazi wa watoto wa watatu ndiomaana imebakia issue ya parenting role na business partners kiu zao zingine wana uhuru wa...
  3. mwakilyambiti

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sielewi cha kufanya...!

    Well spoken!
  4. mwakilyambiti

    JamiiForums Tanzania Tujuane wana JF wa Mwanza

    Kituo kinaitwa darajani!
  5. mwakilyambiti

    JamiiForums Tanzania Tujuane wana JF wa Mwanza

    Me too Butimba tufahamiane wapendwa!
  6. mwakilyambiti

    JamiiForums Tanzania Kuku wangu wengi wameugua ghafla msaada tafadhali.

    Inategemea na soko sio kote bei ziko hivyo! Mimi huwa nanunua soko la mkuyuni kuku wa kitoweo Tetea napata kwa 7000-8000 na kuna kipindi nilikuwa nachukua hadi kwa 6000! Ila Kirumba na mjini hizo ndo bei zake!
  7. mwakilyambiti

    JamiiForums Tanzania Msaada maumivu ya jino jaman

    Kwa anaezifahamu ndulele ni tiba nzuri sana ya jino! Unachukua ndulele 3 au 6,unachukua sufuria unaweka vikombe 6 vya maji,limao 3,unadondoshe na mafuta ya taa kiasi zikiwemo na hizo ndulele! Then chemsha hayo maji kwa muda usiopungua dakika 15!Yatoe maji kwenye moto acha yapoe! Tumia hayo...
  8. mwakilyambiti

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niko Njia Panda.... Ushauri wenu ni muhimu

    Well spoken!
  9. mwakilyambiti

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niko Njia Panda.... Ushauri wenu ni muhimu

    Kwanza napenda nikupongeze dada yangu ni wanawake wachache sana wenye ujasiri na uthubutu kama wa kwako kwa kuweza kuwasimamia wanao despite of da rough road!Big up indeed! Kuhusu huyo mwanaume achana nae ucje ukajutia muda wako mwingi ulio spent mwenyewe na wanao!Wengine huwa ni waharibifu...
  10. mwakilyambiti

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hata umpe nini mwanamme haridhiki??

  11. mwakilyambiti

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania natafuta rakifi wa kiume

    hahahahahah,kereuwiiiiiiiiiiiiii,issue sio mahela mwaya sorry
  12. mwakilyambiti

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania natafuta rakifi wa kiume

    u will have my email and phone number but not in public sio wote watakaotaka niwe rafiki yao jamani :happy:,hapa haujaribu bahati bana sio bahati nasibu hii,ukipenda we bacome friends that's simple.
  13. mwakilyambiti

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania natafuta rakifi wa kiume

    serio dont be bana warmly welcome ila tu ucwe wa:blah::blah:
  14. mwakilyambiti

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania natafuta rakifi wa kiume

    mshalo all description ni nyuma ya pazia not otherwise:lol:
  15. mwakilyambiti

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania natafuta rakifi wa kiume

    khaaaaa haya boss will do that
Back
Top Bottom