CCM ipo katika hatua za mwisho za urushaji mateke ya kukata roho,dalili ni nyingi,Push ups katika mikutano ya Siasa,Tafiti tata za Twawezwa na REJECT,iga iga ya kauli mbiu,ahadi danganya toto zisizohesabika wala kutekelezeka,Kuandaa matamasha badala ya mikutano,nunua nunua ya Viongozi wasaliti...