Recent content by MwakiIV

  1. MwakiIV

    KERO Kukatika kwa mawasiliano maeneo ya Goba Kulangwa

    Mvua za Disemba mwaka 2023 zilikata mawasiliano ya mitaa katika eneo la Goba Kulangwa jijini Dar es Salaam. Cha kushangaza mwenyekiti wa Mtaa na na uongozi mzima wa mtaa unatambua hali hiyo lakini hakuna kilichofanyika mpaka sasa ilhali mvua zingine tena zimeanza. Tafadhali wahusika...
  2. MwakiIV

    Tanzania, Tanganyika na Uzalendo

    Je tunajitambua? Je sisi ni nani? Je watu wanapenda tukijiita nani? Kwa nini tukijigamba kwa asili zetu tunaonekana wabaguzi?. Haya ni maswali ya kawaida sana kwa mwenye uelewa kujiuliza kwa namna siasa za nchi zetu zinavyoendeshwa siku hizi. Kuwa Msukuma si kosa na vivyo hivyo kuwa Mngoni...
  3. MwakiIV

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Remote ya kuwekea tokens za umeme kwa mita zinazoanza na 24 mnauzaje?
  4. MwakiIV

    Kwanini wengi hupenda kujihukumu?

    Tafiti zinasema wanadamu wengi hukata tamaa baada ya swali hili “Kama hatuwezi kushinda kwa nini tushindane?” Watu wengi hawashiriki michakato ya ushindani kama watahisi kuwa kuna dalili ya aidha upendeleo au pengine mtu ujipima kwa sifa zilizolengwa. Wengine huacha kuendelea kuomba fursa ya...
  5. MwakiIV

    Sawa una First Class degree, una A ya Hesabu na wewe ni best student. So what?

    Rejea hoja tangia awali. Au kwa kuwa lugha imechanganywa? Shida ya waswahili wengine mnafanana. Tunapenda kila kitu tuelezewe na wanasiasa ndio wanatumia ujinga huu wa wengi kutuambia hata ukiwa na dini usisemee bandari.
  6. MwakiIV

    Sawa una First Class degree, una A ya Hesabu na wewe ni best student. So what?

    Ubunifu na kujituma. Msanii wenu Diamond kaajiri wangapi? Ana elimu gani? Bakhera kaajiri wangapi? Ana elimu gani?. Kijana soma faulu sana tu lakini njia ya kutokea nyepesi ni ubunifu wako.
  7. MwakiIV

    Sawa una First Class degree, una A ya Hesabu na wewe ni best student. So what?

    Elimu haina mwisho unaweza kusoma hata sasa.
  8. MwakiIV

    Sawa una First Class degree, una A ya Hesabu na wewe ni best student. So what?

    And the real question is what is the impact after your 1st class degree? But young boys of today can’t argue instead they’re doing personal attacking
  9. MwakiIV

    Sawa una First Class degree, una A ya Hesabu na wewe ni best student. So what?

    Kwa hiyo unajiita nyani na wazazi wako pia?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndio mnasema watu siku wameelimika??
  10. MwakiIV

    Sawa una First Class degree, una A ya Hesabu na wewe ni best student. So what?

    Sio duniani kote, walio endelea wanafanya competent based na sie tunafanya memorization.
  11. MwakiIV

    Sawa una First Class degree, una A ya Hesabu na wewe ni best student. So what?

    Baada ya kufaulu hukujibweteka kwa kuwa umefaulu. Ulitafuta shughuli ukafanya na pia ni shughuli ambayo ni nje na uliyosomea. SASA HIYO NI HOJA YA MADA HII. After you passed your studies do more to sustain yourself and community at large.
  12. MwakiIV

    Sawa una First Class degree, una A ya Hesabu na wewe ni best student. So what?

    Kuna wengine unaweza kuwahoji kwa kiswahili pekee na bado akawa hana content zaidi ya kusema alivyokariri darasani
  13. MwakiIV

    Sawa una First Class degree, una A ya Hesabu na wewe ni best student. So what?

    Ni wachache sana wataelewa mlengo wa hoja hii kwa sababu uwasilishwaji wake sivyo ulivyotegemewa. [emoji1787]
  14. MwakiIV

    Sawa una First Class degree, una A ya Hesabu na wewe ni best student. So what?

    Naelewa kwa nini huwezi kuelewa. [emoji1787]
  15. MwakiIV

    Sawa una First Class degree, una A ya Hesabu na wewe ni best student. So what?

    Na ukishindwa kujibu hoja na kubeza mtu husiemjua mtandao hapo BRAIN yako inakuwa inafanya kitu gani???
Back
Top Bottom