Recent content by Mwakifulefule Atufigwege

  1. Mwakifulefule Atufigwege

    JamiiForums Tanzania Ukiwa shabiki wa Arsenal unaweza kufa wakati wowote

    kushuka daraja never, ila chamoto tutakiona asee
  2. Mwakifulefule Atufigwege

    JamiiForums Tanzania Hawa ndiyo wahenga Bongo waliooa wazungu

    Mkuu ongezea na Ukraine BElaruss Bulgaria Albania na Kosovo kote hali mbaya tu
  3. Mwakifulefule Atufigwege

    JamiiForums Tanzania Ogopa sana vijana wanaokula bata Kinondoni na Sinza

    Mkuu ni kwa mujibu wa TWAWEZA
  4. Mwakifulefule Atufigwege

    JamiiForums Tanzania Wasanii na watu maarufu waliovuma enzi hizo kwa sasa wako wapi..?

    Mzee wa FDC alifanya ngoma moja na Blue inaitwa nafanya nn, alifunikwa vibaya mno
  5. Mwakifulefule Atufigwege

    JamiiForums Tanzania Wasanii na watu maarufu waliovuma enzi hizo kwa sasa wako wapi..?

    Mkuu huyu dogo yuko ulaya by then alikua anakuja likizo ndo anafanya kazi na amiri jeshi mkuu GK
  6. Mwakifulefule Atufigwege

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    BASIASI leta vitu tuongeze kamtaji cha kesho
  7. Mwakifulefule Atufigwege

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    M Mkuuu inaumiza sana asee,though mkasa wako ndo unafurahisha
  8. Mwakifulefule Atufigwege

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Mbeya mtavurugwa

    Sugu ni mkinga na kiukweli mbeya mjini kuna wakinga wengi sana
  9. Mwakifulefule Atufigwege

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Mbeya mtavurugwa

    Kiukweli wanyakyusa ni wabaguzi na wapenda kuwa juu, ukienda Rungwe na Kyela huwezi kuta kiongozi wa kabila jingine tofauti na wanyakyusa, ila wao wametapakaa kila maeneo ya mkoa wa mbeya na mkoa mpya wa Songwe
  10. Mwakifulefule Atufigwege

    JamiiForums Tanzania Ubora wa Yondo Sister katika muziki wake!

    Mkuu madi ni jina la wimbo album inaitwa SCANDALE Hizi ni baadhi ya nyimbo zilizo kwenye hiyo album 1 Madi 2Jo 3 Africa 4 Dernier minute
  11. Mwakifulefule Atufigwege

    JamiiForums Tanzania Ubora wa Yondo Sister katika muziki wake!

    Alikua na ki dizaini flan cha kuweka nywele kilichukua chat sana kwa dada zetu
  12. Mwakifulefule Atufigwege

    JamiiForums Tanzania Movie za kibongo zilizokuwa zinatamba enzi hizo

    Hivi nysuka inapatikana youtube wakuu?
  13. Mwakifulefule Atufigwege

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ni Ni kweli mkuu kamtaji nilichokachanga toka jumatatu kataisha endapo osasuna atapigwa nimempa 1x
  14. Mwakifulefule Atufigwege

    JamiiForums Tanzania Je Thomas Ulimwengu alikuwa overrated?

    Amerudi unyamani mbaya wao kuja kuwafanyia vitu vyeusi
Back
Top Bottom