Mkoa wa Mbeya mtavurugwa

Mkoa wa Mbeya mtavurugwa

Mimi sio mwanasiasa bali ni mtumishi hapa Mbeya. Nimekuja mbeya sasa ni mwaka wa 4. Kuna jambo linaendelea mbeya na wao hawataki kulikemea.

Mkoa wa Mbeya wasipoangalia kufikia mwaka 2025 watatawaliwa na wanyakyusa. Nikupe takwimu Mbunge wa Chunya, Kyela, Rungwe na Busokelo ni Wanyakyusa. Mbeya Mjini, Mbalali na Mbeya vijijini si Wanyakyusa. Mwaka huu nilikutana na rafiki yangu jana Uyole akaniambia mjini wameshakaa lazima Tulia ashinde na sasa wanaangalia kati ya Mbalali na Mbeya vijijini nako wawe na mtu wao mwenye asili ya unyakyusa.

Aliniambia eti Rais amesema Tulia atakuwa Spika na 2025 ndiye atakuwa Rais. Mkakati wa kufanikisha Wanyakyusa eti unaratibiwa na wafanyabiashara wakubwa wa kinyakyusa.

Ombi langu kwa watu wa Mbeya kama mmemchoka Sugu tafuteni mtu mwingine. Tulia atawapeleka jehanamu. Hivi hamujiulizi anatoa wapi hela zote anazotoa kila siku ambazo hazifanani na mshahara wake? Hamjui kama anatumia ofisi yake vibaya kuomba mahela kwa wafanyabiashara ili kuja kuwanunua? Anaposema atakuwa Spika kwani Ndugai hagombei?

Sisi Tanga tunampenda Ummy lakini hajatuhonga ila matendo yake yanatufanya hata wapinzani tumpende.

Natamani nitukane ila ban ndo tatizo, unakuwaje na fikra potofu za UKABILA kima wewe?, Mwalimu julius Kambarage nyerere alikataa haya mambo asee, nikisema unataka kuhatarisha amani ya nchi nitakuwa nimekosea?, kuwa makini na matamshi yako

Mh hasunga ni mnyakyusa?
Leta hoja zenye akili sio za uchonganishi

Mwalimu
 
Jee! huko Tanga [ambako nami ninaasili nako] tunachagua wabunge kutokana na ukabila? Mambo hayo kwetu hayajawahi kuwepo na hayata kuwepo kwani tumeoleana sana.
 
Tanzania ina Ukabila na Udini wa hali ya juu.
Hakuna ukabila wa udini hapa Tanzania kwanini nasema hivo

1. Watoto wetu wanasoma dini zote hata zile za seminary wapo na wanachanganyika
2. Tunaishi sehemu moja
3. Tunasafiri na mabasi ya umma wote kwa pamoja

Niseme tuu mtu kumbagua mwenzake ni tabia ya ndani ya mtu huyo wala dina na kabila havina uhusiano na mwenendo wa mtu binafsi

Mwalimu
 
Natamani nitukane ila ban ndo tatizo, unakuwaje na fikra potofu za UKABILA kima wewe?, Mwalimu julius Kambarage nyerere alikataa haya mambo asee, nikisema unataka kuhatarisha amani ya nchi nitakuwa nimekosea?, kuwa makini na matamshi yako

Mh hasunga ni mnyakyusa?
Leta hoja zenye akili sio za uchonganishi

Mwalimu
hasunga yupo mkoa wa songwe mkuu

ila kajamaa kapunguze ukabila

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la wageni wakifika wanadhani kila ambaye kina la ukoo lina anzia na Mwa....basi ni mnyakuyusa kitu ambacho sio sahihi.Muda ndo utaamua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali juu ya swali? It won't work.

Nimekuuliza maana insinuation yako ni kwamba idadi ya watu wa kabila fulani ndiyo inaamua nani awe Mbunge.

Sugu kabila gani? Kabila lake ni wengi kiasi hicho Mbeya?
Sugu ni mkinga na kiukweli mbeya mjini kuna wakinga wengi sana
 
Kiukweli wanyakyusa ni wabaguzi na wapenda kuwa juu, ukienda Rungwe na Kyela huwezi kuta kiongozi wa kabila jingine tofauti na wanyakyusa, ila wao wametapakaa kila maeneo ya mkoa wa mbeya na mkoa mpya wa Songwe

Na ndo maana hawana support kutoka makabila mengine, ni Wakabila na waroho wa madaraka kupenda kutawala jamii nyingine
 
1)Mbeya city vs Prison

2) Mbeya kwanza vs Ihefu.

Malafyale derbies
 
Back
Top Bottom