Recent content by mwakibua

  1. mwakibua

    Duniani asilimia kubwa ya wanavyuo wana part-time jobs inayowafanya kuepuka kuwa tegemezi

    Ordinary diploma transcript ya civil engineering ina jumla ya masomo 70 . Masomo mengi mda wa kusoma uku unafanya kazi ni ngumu
  2. mwakibua

    Kosoa toa dukuduku lako elimisha jamii kupitia hapa

    Vyuo vya ufundi vya veta vitoe maelezo sahihi kuhusu masomo yanayotolewa. Wanafunzi wengi wanajua kuwa wanakuja soma fani tu kumbe wanakutana na masomo ya ziada na wanabaki kushangaa.
  3. mwakibua

    Maajabu: Maiti yagoma kuzikwa ili ivishwe viatu vipya

    "Mwendazake alikua bishoo" alisikika mwanakijiji Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
  4. mwakibua

    Kuna kitu hukuona au siku ipi ikifika huwa inakupa kumbukumbu mbaya sana?

    Form form wakifanya mtihani wa mwisho wa hesabu najisikia vibaya nakumbuka nilifeli hesabu
  5. mwakibua

    SoC01 Ulaghai unaofanywa na baadhi ya vyuo nchini, chukua tahadhari na usitapeliwe

    Kweli kabisa, vyuo vingine havina walimu baadhi ya masomo
  6. mwakibua

    Nimewaza Ujinga: Kwanini magari yasigome kuwaka mpaka dereva atakapochomeka leseni yake na funguo kwa pamoja?

    Kuna gari zinazima mlimani uku linateremka sasa mpaka uchomeke leseni Na funguo itakua tabu
  7. mwakibua

    Tusipende kupuuza simu tunazopigiwa

    Kopa tala afu usilipe ndo utajua kwa nini usipokee simu. Wana vitisho balaa
  8. mwakibua

    Dar: Mabasi ya Mikoani na nje ya Nchi, yaanza kutumia Kituo kipya cha Mbezi Luis

    Viti vya kusubiria abiria badoo? Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
  9. mwakibua

    Je, tuendelee kutilia mkazo watoto wetu kusoma masomo ya sayansi au tukomae na kukuza vipaji?

    Itabidi umchunguze mtoto wako kama slow learner or higher learner. Kisha umpeleke panapo mstahili . Nafikiri hadi darasa la Saba mtoto anakua ameshaonyesha mwelekeo Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
  10. mwakibua

    Nimedisco baada ya kukamatwa namfanyia mtihani Mwanafunzi mwenzangu

    Pole bro, ukidisco si unafutiwa matokeo yote unaanza tena. Hakuna namna . Rudia tuu
  11. mwakibua

    Mtu mzima Kutembea ukiwa umevaa au kuning'iniza headphone mitaani Ni ujuha na ushamba

    Ni mitizamo tuu. Kama nafuatilia kipindi katika radio alafu umepata dharura ya kutoka home si unachukua headphone
  12. mwakibua

    Wamachinga vs Barabara za waenda kwa miguu

    sawa, ila inshu ni kuziba njia. hatari ni kwa wapita njia, hatari zaidi gari ikiacha njia Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
  13. mwakibua

    Wamachinga vs Barabara za waenda kwa miguu

    Hii dunia ya mipaka. Fanya biashara sawa ila hutakiwi panga biashara mpaka barabarani Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom