TBS na TRA mpo wapi kuwakinga Watanzania na hii kampuni ya KC Global Link?

Wabongo wengi wapumbavu sana ndomana CCM itaendelea kutawala mpaka mwaka elfu 5. How come unanunua uchafu kama huu. On top of that umetahadharishwa kabisa kwamba ukikuta kibovu ni juu yako. Watu kama nyie mnatakiwa kuvuliwa nguo, kupakwa pilipili matakoni na kupigwa fimbo nyingi.
 
Mkuu, kwani unalazimishwa kununua?
Halafu manyangarika yenyewe ndo hayo??

We kabisa unatoa hela tunaenda kununua lijenereta la hivyo una akili kweli??
.Labda kama linauzwa buku mbili

Naona Chris Lukosi "Chilisosi" toka chadema mpaka CCM saivi kaamua kuuza matakataka

Ila kuna wabongo machizi kweli kweli hahahaaa mnada wa tetanus
 
Hii kampuni imekuwa ikiingiza mizigo/makinikia toka UK, cha ajabu vitu wanavyoviingiza kama used ni vibovu sana na asilimia 60 vinakuwa huwezi kuvitumia mpaka uwatafute mafundi huku yeye akiendelea kunadisha mnada ambao unafanyikaga online kila wiki na ofisini kwao mikocheni nyuma ya clouds.

Je, TBS kazi yao ni kuangalia ubora wa vitu kama magari tu na vyakula? Je wananchi wanaoletewa mizigo used toka ulaya hawana budi kukingwa na huu utapeli unaofanyika.

Pili ukinunua vitu kwao ukienda kulipia wanakupa lisiti ya TRA ambayo wameipunguza bei tofauti na uhalisia, TRA fuatilie mahesabu ya hii kampuni na bei anazouza ktk minada anayofanya tokea facebook kuna ukwepajinmkubwa sana wa kodi na ata vitu anavyouza ofisini kwao mikocheni mtagundua udanganyifu mkubwa sana wa kodi toka katika hii kampuni.

Mimi mmojawapo ni muathilika wa hili na ushaidi wa receipt niliyopewa ikiwa imepunguzwa bei halisi niliyonunulia vitu ninayo, na hata clip ya video inayoonesha bei halisi ya kununua hivyo vitu ninayo mkianzisha uchunguzi nitatoa ushirikiano.

Naambatanisha picha kuthibitisha ubovu wa bidhaa zao na lugha zao wanazotumia kuhalalisha ubovu wa vitu huku wakiwa hawana wasi wasi kuingiza vitu bibovu nchini

View attachment 1724436

View attachment 1724437
View attachment 1724438
View attachment 1724439
View attachment 1724440
View attachment 1724441
View attachment 1724442
Usinunue
 
Kwa hilo angalizo huna budi kustuka. Vifaa unanunua at your own risk. Kikiwa kibovu katengeneze mwenyewe; hakuna kurudisha; hakuna warrant wala guarantee; na kama huna uhakika usinunue vifaa hivyo toka kwao. Kwa mtu makini hayo yanatosha kukufikirisha ni mtego gani umewekewa.
 
Lakini mbona walishakwambia mapema.unafeli wapi?
Issue ni ubora kwani wanagoma kurudishiwa huku wakijua wanafanya biashara kihuni
JamiiForums-1334280977.jpg
 
Vifaa kama hivyo kule Ulaya wanavitupa....tena huenda hata gharama ya kuvibeba wanampa vitoke tu kule.
 
Eeehh haya matakataka yamepita Bandari yetu ya Dar kweli? Eeehh hizi si rust au kutu tupu.. Kweli TBS mko wapi? Eeeh, hapa TBS lazima watatumbuliwa.
 
Hii kampuni imekuwa ikiingiza mizigo/makinikia toka UK, cha ajabu vitu wanavyoviingiza kama used ni vibovu sana na asilimia 60 vinakuwa huwezi kuvitumia mpaka uwatafute mafundi huku yeye akiendelea kunadisha mnada ambao unafanyikaga online kila wiki na ofisini kwao mikocheni nyuma ya clouds.

Je, TBS kazi yao ni kuangalia ubora wa vitu kama magari tu na vyakula? Je wananchi wanaoletewa mizigo used toka ulaya hawana budi kukingwa na huu utapeli unaofanyika.

Pili ukinunua vitu kwao ukienda kulipia wanakupa lisiti ya TRA ambayo wameipunguza bei tofauti na uhalisia, TRA fuatilie mahesabu ya hii kampuni na bei anazouza ktk minada anayofanya tokea facebook kuna ukwepajinmkubwa sana wa kodi na ata vitu anavyouza ofisini kwao mikocheni mtagundua udanganyifu mkubwa sana wa kodi toka katika hii kampuni.

Mimi mmojawapo ni muathilika wa hili na ushaidi wa receipt niliyopewa ikiwa imepunguzwa bei halisi niliyonunulia vitu ninayo, na hata clip ya video inayoonesha bei halisi ya kununua hivyo vitu ninayo mkianzisha uchunguzi nitatoa ushirikiano.

Naambatanisha picha kuthibitisha ubovu wa bidhaa zao na lugha zao wanazotumia kuhalalisha ubovu wa vitu huku wakiwa hawana wasi wasi kuingiza vitu bibovu nchini

View attachment 1724436

View attachment 1724437
View attachment 1724438
View attachment 1724439
View attachment 1724440
View attachment 1724441
View attachment 1724442
Naona wana zabuni ya kubeba taka kuja kuzitupa TZ
 
Mkuu umenikumbusha miaka ya 2000's kampuni moja ya udalali ambayo ilikuwa na ofisi Posta na Mwenge walikuwa na utaratibu kwa watu kupeleka vitu walivyovitumia na hawavihitaji tena kwenye Mnada wao wa kila jumamosi ambao ulikuwa unafanyika posta. Sheria yao kubwa ni kwamba unanunua kitu kama kilivyo na malipo siku hiyo hiyo na mali iliouzwa hairudishwi. Aiseee watu waliuziwa sana vitu vibovu kipindi kile. Nakumbuka niliwapelekea simu ya Erickson ile kubwa ilikuwa na tatizo la Network, ile simu huku mtaani hata elfu tano nisingepata ila cha kushangaza siku ya mnada waliuza sh. 21,000/=. Tangu siku hiyo nilitumia ule mnada kama jalala la vitu vibovu na nisivyovitaka..
 
Mzee umeuziwa chuma chakavu kwa bei ya mpya.Huyu mccm kamwene janja janja sana thus yupo bize kumsifia jiwe Ili asiguswe.Maana huwezi sifiwia usichofaidika nacho.
 
Back
Top Bottom