unalikuta lidada ni kula kulala nyumbani au kamaliza chuo hana kitu, anaanza mm wa kunioa awe na kazi, gari, nyumba, jiulize ww unavyo hvyo?
Ndio mana ma brazamen yanaazima magari yanawatanua miguu na kuwaacha, hata mm sitakuja kuoa msichana maskini bz na wao wanabagua sana
mambo hayapo hvyo ndugu bot wakija wale wakuu wa vikosi ndio wanawachagulia bot watu wa usaili, mm kuna jamaa yangu alikua na bachelor of science in wildlife wakubwa wakamchagua aende bot kutokana na nidhamu ila kuna wachumi wengi walizuiwa kufanya huo usaili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.