Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,051
- 2,105
Wakuu,naomben mchango wenu wa mawazo?kuna mtu,amegraduate udsm mwaka huu shahada ya kwanza ya uchumi,ana Gpa ya 3.ndugu zake wamemfanyia mpango ili mwezi february mwakani aingie jkt ili baadae aweze kupata ajira ktk vyombo vya usalama kama jwtz,tiss etc.yeye mpaka sasa yuko 50-50 kimaamuzi.je wakuu,kwa mnaoelewa kuhusu haya mambo mnaweza kumpa mawazo gani huyu ndugu yenu kuhusiana na hili suala,aende huko jkt au aendelee kusaka tu kazi za kiraia?
Karibuni kwa msaada wa mawazo wakuu.
NB:huko jeshini ana watu wa kumsimamia{kumshika mkono} kwa hyo uwezekano wa kupanda ngazi za vyeo fasta upo.
Karibuni kwa msaada wa mawazo wakuu.
NB:huko jeshini ana watu wa kumsimamia{kumshika mkono} kwa hyo uwezekano wa kupanda ngazi za vyeo fasta upo.