Natafuta msichana wa kuoa

Natafuta msichana wa kuoa

walioko humu sio wanawake, ni MASHANKUPE, MASHANGINGI, MACHANGU, NA MASHOGA

Maneno makali ayo jamani ila unatukosea heshima kwakweli maana hao unaokutana nao huko barabaran ndo hao hao tuliopo humu sasa tofauti ni nini?au umetumia kigezo gan kusema ivo? Huwezi jua mungu amekupangia ukutane wapi na mwenza wako ivo usimvunje moyo mwenzio
 
Kwana kua uwe mwanaume ndo utafte msichana. Sawa? Wewe ulishaona wanaume wanalalamika???
 
Mwanaume utakiwi kulalamika hivi.wanawake kibaoo unatia Aibu mkuu.otherwise ni domozegee(dont take it serious)😅😅😂
 
Nimekua nikipata wasichana walaghai mara zote,hali ambayo ilinifanya kuwachukia wote. Ila sas nataka msichana ambae anadhamira kama yangu aache namba yake ya simu nami yakutafuteni,sichagui chochote ili mradi uwe una sura ya mvuto tu

are u serious?? acha ku2dhalilsha wanaume bana ww vp?
 
Maneno makali ayo jamani ila unatukosea heshima kwakweli maana hao unaokutana nao huko barabaran ndo hao hao tuliopo humu sasa tofauti ni nini?au umetumia kigezo gan kusema ivo? Huwezi jua mungu amekupangia ukutane wapi na mwenza wako ivo usimvunje moyo mwenzio

u are among of them, yani wanawake humu hakuna wamekubthu hadi kwenye tigo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom