mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,577
- 11,204
wakuu heshima kwenu naombeni tu share ndoto ipi katika zote ulizoota mwaka 2015 ilikufurahisha.
Nikianza na Mimi siku moja niliota naongozana na Magufuli kijiji frani kinaitwa ilembula. Ilikuwa furaha sanaa pia nakumbuka nilimuota mzee Ngogo nadhani anakipindi kizuri cha siasa radio wapo niliota ananihoji. Karibuni tu share ndoto japo kukumbuka nikazi saaana