Recent content by MWAKAJEMBE

  1. MWAKAJEMBE

    JamiiForums Tanzania Kwanini tutarudi kwenye uchaguzi kabla ya miaka 5 kuisha?

    Mtaelewa tu kuwa mlikuwa mnashidana na mteule wa Mungu sasa mmeumbuka kwa kutengeneza mafuriko na usanii mwingi kwenye kampeni.
  2. MWAKAJEMBE

    JamiiForums Tanzania Tuliokula ada za shule sababu ya Lowassa tukutane hapa

    teh teh teh teh,poleni wadogo zangu hayo matumaini mliyokuwa mkipewa sawa na kufukuza upepo. Msiwe na wasiwasi magufuli atatoa mikopo haraka mtaendelea na masomo yenu.
  3. MWAKAJEMBE

    JamiiForums Tanzania Geita - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Mkuu tuhabarishe kina nani wameibuka kidedea?
  4. MWAKAJEMBE

    JamiiForums Tanzania Matokeo rasmi ya Urais kwa mujibu wa NEC (Official Results) - Uchaguzi Mkuu 2015

    Haiwezekani tulingane acha wao waendelee na yao na sisi tutaendelea na yetu.
  5. MWAKAJEMBE

    JamiiForums Tanzania Mwanza - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Mwanza hoyeeeeee.
  6. MWAKAJEMBE

    JamiiForums Tanzania Je, Nyumbu aweza kula chakula pamoja na Simba?

    Lumumba viti vya moto havikaliki tena lowasa anawapausua vichwa sana.
  7. MWAKAJEMBE

    JamiiForums Tanzania Tusifanye makosa kutomchagua Lowassa

    kama kigezo ni upenzi wanawake wazuri wasingeachwa na ndoa kuvunjika. wewe kaa na mawazo yako usiwalazimishe watu kuchagua tar 25 inakuja utashuhudia mwenyewe.
  8. MWAKAJEMBE

    JamiiForums Tanzania Makongoro Nyerere Kugombea Urais-2015

    Kama ndo hivo kazi ipo.
  9. MWAKAJEMBE

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya Watanzania wanauelewa mkubwa katika maswala ya imani

    Taji za kushinda changamoto
  10. MWAKAJEMBE

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya Watanzania wanauelewa mkubwa katika maswala ya imani

    Hakuna kitu kisichokuwa na changamoto hapa duniani zidi kumwamini Mungu mwisho utapata taji.
  11. MWAKAJEMBE

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya Watanzania wanauelewa mkubwa katika maswala ya imani

    Usikufuru, kwani unafikiri ni kwa uwezo wa wazazi wako tu umekuwepo hii leo na unaweza kuandika upagani wako hapa? Take care, mwamini Mungu, hujui ya kesho huyo Mungu ndo kakulinda na kukupa uwezo na uhuru wa kuandika hiki imaana hainglii mawazo ya mtu.
  12. MWAKAJEMBE

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuondoa madoa na mabaka mwilini

    mkuu nenda jf doctor utapata msaada au atumie gentrisone creame.
  13. MWAKAJEMBE

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mtoto mchanga azaliwa akiwa ameota matiti

    Dunia imekwisha tayari tuanze kukesha tukiomba kiyama kikomlangoni.
  14. MWAKAJEMBE

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi kwenye kampuni za simu/minara

    Anaehitaji anipm.
  15. MWAKAJEMBE

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya udereva wa gari

    Nilitaka kuanzisha uzi wangu ila nimekuta umeanzishwa tayari mimi pia nahitaji kazi ya udereva leseni yangu ina madaraja B D E ninauzoefu wa miaka 7.
Back
Top Bottom