Recent content by mwakagali Jr

  1. mwakagali Jr

    Mke sijui Salary yake anafanyia nini?

    changamoto hii naona wanaume wengi sana tunayo, kwanini wanawake wamekuwa kama mchwa kwenye familia. bila kuwa na msimamo wa kuwapangia majukumu. wanaume wengi tutaendelea kuumia.
  2. mwakagali Jr

    Nimetia aibu kubwa ukweni

    hahahah ukitoka shikilia tumbo halafu unainamana kidogo kama mtu mwenye maumivu makali ya tumbo, watakuonea huruma wenyewe na kukupa pole, hawatacheka tena, omba kitanda ukapumzike kidogo, na chakula chao usile. hawana adabu hao.
  3. mwakagali Jr

    Tetesi: Mabadiliko TBL

    hapa kuna shida sana katika tafsiri ya kukua kwa uchumi, mi nafikiri kukua kwa uchumi lazima kuendane na kuimarika kwa hali ya maisha ya watu.
  4. mwakagali Jr

    Rais Magufuli, nchi zilizoendelea zilianza na Mapinduzi ya Kilimo sio Viwanda

    miaka ya hamsini china walifanya kosa hili, kwa kuamini kuwekeza kwenye viwanda kwanza baadala ya kuwekeza kwenye kilimo kwanza, walijenga viwanda vingi wakitumia wataalam expert from russia ulikuwa mpango wa miaka kumi, lakini katika miaka mitano ya mpango wakagundua kuwa ilikuwa wawekeze...
  5. mwakagali Jr

    Polepole: Nape ataadhibiwa na CCM kwa kauli ya kusema alikitoa chama shimoni uchaguzi wa 2015

    huyu nape analewa sifa, ccm chama kubwa yeye kupewa nafasi haina maana nje hakuna watu wenye uwezo kuliko yeye. alikitoa shimoni ni shimo gani hilo. kikwete atujibu alikiweka chama shimo gani hilo. mpaka nape akitoe. mara tumekumbuka kipindi cha kikwete, mlisema kikwete dhaifu.
  6. mwakagali Jr

    Nape: Ben Saanane amepotea, Clouds wamevamiwa, akina Roma wametekwa, Rais achukue hatua

    mbwembwe nyingi sana naye huyu mpaka ataharibu mwisho wa siku, ngoma ikilia sana hupasuka.
  7. mwakagali Jr

    Dkt. Mwele Malecela aula Umoja wa Mataifa. Kuongoza vituo vya magonjwa Afrika

    watu na elimu zao hawatakagi vitu vya kijinga, wacha afanye yake
  8. mwakagali Jr

    Wadada: Kama unajijua upo period unafata nini gheto?

    mkiwa period nahisi mnakuwa na hamu ya ku duuu sana.
  9. mwakagali Jr

    Am about to start packing drinking water, please assist on brand name

    hivi kwanini usiyaite 'MAJI' wakija dukani wakiomba Maji lazima wapewe hayo
  10. mwakagali Jr

    Mfanyakazi asimamishwa Clouds kwa kutangaza habari ya Paul Makonda, TEF yaitaka mitandao iunge mkono

    asipoandikwa atanenepa kidogo, kama ni kweli mtaweza kutokumuandika
  11. mwakagali Jr

    Rais Magufuli umeua biashara nchini makusudi na haupendwi kama unavyodhani

    yaani hakuna mtu atasalimika kwa hali hii ya uchumi, kila mmoja wetu lazima aathilike, uwe ccm au cdm. nawashangaa mnaoleta siasa kwenye issue kama hii inayohusu uhai wa uchumi wa nchi, maana serikali yenyewe itapungukiwa mapato yake,
  12. mwakagali Jr

    Rais Magufuli umeua biashara nchini makusudi na haupendwi kama unavyodhani

    wawakilishi wetu wameota kigugumizi, kwanini huko bungeni wasipeleke hoja ya dharula wajadili hali ya kifedha tanzania, haiwezekani uhakiki umeisha na serikali iendelee kushikilia hela. hakuna biashara tanzania na hali ni mbaya kuwahi kutokea, wafanyabiashara wengi wameshindwa kulipa madeni benk...
  13. mwakagali Jr

    Rais Magufuli umeua biashara nchini makusudi na haupendwi kama unavyodhani

    Nafikiri kuna haja kuja na mjadala wa kitaifa juu ya hali ya uchumi kwakweli hali ni mbaya sana, purchasing power hakuna. yaani biashara za watu zinakufa, halafu tunapoteza mda kujadili upuuzi. hivi huyu magufuli haoni nini kinaendelea. kuna haja wafanya biashara kutoa tishio la kufunga biashara...
Back
Top Bottom