Recent content by mwakaboko simon

  1. M

    Ney wa mitego awapa makavu bongo movie

    Ney yuko sahihi mbona bongo fleva watu wanaikubali?
  2. M

    Halotel mmeanza kupuyanga sasa!

    Sio siri halotel sasa wanazingua.
  3. M

    Kwanini watu wa Mbeya wanaendekeza ushirikina licha ya kuwa na madhehebu kila mtaa?

    Mtoa mada hujielewi usiongelee watu kwa ujumla kwanza swali lako halijajipambanua ungesema kabila hata wachaga wako kibao mbeya wanatafuta unajuaje kwamba hata wao wana.....usihukumu kabila zimechanganyika. Ndugu
  4. M

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Kweli kabisa jamaa anacheza kistaa sana.
  5. M

    Anachofanya Kibonde wa Clouds FM ni hatari kwa redio hiyo

    Huyu jamaa anapenda sifa za kijinga asidharau watumishi wa mungu.itakula kwake.
  6. M

    Natafuta fuel pamp ya dodge RAM engine ya petrol V8 16 valves

    Inapatikana mtaa wa Libya na Band maeneo ya Kisutu posta
Back
Top Bottom