Habari wana JF! ninajambo naomba mlitolee mawazo na mada hii ni kwa mara ya pili naiweka mezani ni ili tu kupata mawazo na ufumbuzi toka kwenu juu ya jambo hili, kabala ya kulisema ngoja nikupeni picha ya elimu yetu. ni kwa muda sasa nimekua nikifuatilia mtaala wa elimu yetu toka nipate ufahamu...
Habari wana JF! ninajambo naomba mlitolee mawazo, kabala ya kulisema ngoja nikupeni picha ya elimu yetu. ni kwa muda sasa nimekua nikifuatilia mtaala wa elimu yetu toka nipate ufahamu na uelewa wa kuchambua Pumba na Mchele! kama tuna kumbuka sote miaka michache iliyopita kuna wazir mmjo wa elimu...
dahhhh! pole yake huyo jamaa yako, ila iko hivi mwanmke yyte katka kizazi hiki cha nyoka yupo KIMASLAHI ZAIDI kubali uckubali,mwanamke huyo alikuwa kimaslah kaona jama hamkidhii mahitaji yake anamuona ----- PILI iko ivi pia UKIONA UNAPENDWA UJUE KUNA ----- KATENDWA NA UKIONA UNATENDWA UJUE KUNA...
mi binafsi cjkuelewa! ebu tulia kwanza afu anza kutueleza nn kilikusibu na had ukapatwa na ulemavu! mana mi meona kama unatoa shukrani kwa watu tu akati unahitaji ushaur, ilikuwa vema kam vip uwafate hao uwape shukurani kwetu uombe ushaur
hakutakiwa kufanya hivyo jamaa, kaa chini na mkeo hata kwa kushirikisha ndugu zake ama wazee! akishindikkana "SHATI LIKIKUBANA ACHANA NALO CHUKUA JINGINE"
hahahahah! hapo kaka umekosea jamaa yangu! solution ya tabia ya mkeo haikua hilo ulilolifanya jamaa, huyo nae unaemuona ametuliza moyo wako kumbuka nae ni mwanamke kwa mana kwamba wanawake wote ni sawa kwa vitimbi yawezekana huyo anavitimbi kuliko mkeo sema bado hajafunguka ju ya vitimb...
pole sana kaka! akinadada zetu siku hizi wamemukuwa na akili kama za wanyama braza hawezi kuppandwa na mmjo d wawe wengi ndo aridhike! fanya subira ju ya hilo chunguza kwa makini utagundua jambo wala ucwe na haraka jama mana mwanamke yyte akishakua n bwan nje 100% utamjua so do slowly
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.