Nipo njia panda kijana mwenzenu..

Nipo njia panda kijana mwenzenu..

kwani huyo mwanaume anakuoa wewe au anaoa familia nzima?

Mama na familia yako si wanaishi maisha yao yako yanawahusu nini?

 
Habari zenu wana jamvi wenzangu? Mimi nina boyfriend ambaye tumekuwa kwenye mahusiano karibia mwaka wa tano sasa. Kinachoniweka njia panda ni kwamba tunapendana sana lakini mama na ndugu wengine hawataki tuoane kwasababu kwanza makabila tofauti, wanataka niolewe na mtu wa kabila langu, kingine kielimu nimemzidi na nyumbani wanataka at least tuwe level moja au aliyenizidi elimu, halafu mwanaume ni mfupi mimi ni mrefu tukipita njiani watu wanajua yupo na dada yake kumbe ni girl friend wake. Naomba mnishauri nifanyeje kwa sababu kumpenda nampenda, nikimuacha nitamuumiza na sitaki kumuumiza na mama yangu naye nampenda sitaki kumuumiza, nifanyeje?
Mama yako ni mzazi ktk interaction ya maisha yako ya baadaye ni short term. Mama yako atakuwa na furaha utakapokuwa na furaha wewe. Ukiolewa na mtu unayempenda utaishi maisha ambayo wewe unayahitaji, kwani kupata mtu mnayeendana ni nadra. Wewe kama mshikaji unampenda oana naye. Mueleweshe mama yako juu ya kuwa furaha yako ya baadaye ndiyo itampatia furaha mama yako pia. Kabila si kigezo, mtu ambaye hana exposure ndiyo wanafikra za hivyo.
 
si vizuri na heshima zako kumpotosha huyu kijana......

basi mwambie akatafute mwanaume wa kabila lake amuoe....na si kuwa waoane kwa kuwa wanapendana bali waoane kwa kuwa familia imeamua na kwa vile ni kabila moja na siajabu wanatoka kijiji kimoja...........

Miezi sita baadae aanzishe thread jinsi ndoa inavyomtesa aombe ushauri juu ya talaka....
 
basi mwambie akatafute mwanaume wa kabila lake amuoe....na si kuwa waoane kwa kuwa wanapendana bali waoane kwa kuwa familia imeamua na kwa vile ni kabila moja na siajabu wanatoka kijiji kimoja...........

Miezi sita baadae aanzishe thread jinsi ndoa inavyomtesa aombe ushauri juu ya talaka....

nina uhakika waelewa kwamba ndoa yahitaji baraka za wazazi.. sidhani hata kama wewe utakua tayari Binti yako ajizoleee mwanaume mtaani .. ati tu kwavile wamependana. NO p'se
 
Hii taasisi ya ndoa hii! Hope umri haujaenda, kwani wakati wa kuwa desparate ukishafika ungekuwa umeshamuweka ndani. Nina imani bado unasoma chuo.
 
Wewe huna mume hapo miaka mitani ubf???mnajenga ghorofa au kiwanda??
Subiri mwenzako aje akuovertake uje hapa ulielie tena.
Smart woman know how to take decisions.
Amka fasta fanya maamuzi ha miaka yote hiyo mmemaliza kila kitu unafikiri kuna jipya analoliona kwako???jipange bi dada
Ciello njoo umpe ushauri huyu mwenzako
 
Last edited by a moderator:
Wewe huna mume hapo miaka mitani ubf???mnajenga ghorofa au kiwanda??
Subiri mwenzako aje akuovertake uje hapa ulielie tena.
Smart woman know how to take decisions.
Amka fasta fanya maamuzi ha miaka yote hiyo mmemaliza kila kitu unafikiri kuna jipya analoliona kwako???jipange bi dada
Ciello njoo umpe ushauri huyu mwenzako

kumbe umeliona hilo....miaka mitano jamaa anijipigia papuchi kwa raha zake lol
 
Last edited by a moderator:
asa unaomba ushauri wa nn,,...we hujui watu wafupi walivyowasumbufu...piga chini tafuta mrefu
 
Hahaaaaaaaaaaaaa! Mie ngoja nijinyamazie!!!!!! Nikisema patachimbika bureeee! Ciello nimekuona umepita kimya kimya!!!!! Tia japo neno la Suna!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Pretty
::
Kuwa njiapanda ya maamuzi ndio ukomavu wa maisha hivyo,hongera kwa hatua hii.
::
Vikwazo vyote vinavyoyumbisha upendo wako ni sifa za nje ya mtu..MTU hayuko nje,yuko ndani katika akili,mawazo,msimamo na hekima ya kuyatawala maisha yake ktk usafi,uwajibikaji n.k
Yai likichafuka nje si lazima hata ndani ni chafu.KAMA UMPENDAYE ANA HAZINA NJEMA ZA NDANI,endelea mbele ipo siku watakupongeza.
::
Wapo wengi wamevutwa na mwonekano,urefu,ufupi,elimu,mali,kabila au dini.Lakini muda mfupi baada ya ndoa zao wamejikuta yale yaliyowafanya wawapende wenzi wao yamegeuka kuwa chanzo cha huzuni.JIEPUSHE NA HILI,,
::
Naam,kuna staili nyingi za mtu kulazimika kuanza maisha ya ndoa,mf.mimba,upweke,umri n.k LAKINI njia ya kuanza ndoa na mtu ambaye umemkubali tu ili uwafurahishe marafiki,ndugu,wazazi na hata wafanyakazi wenzio,,SI uamuzi bora maana NDOA ni MKE na MUME,,Usiishi kuwafurahisha watu.Kama afanyavyo daktari,,choma sindano mgonjwa aumie ili akipona ashukuru.Chukua uamuzi ambao utaumiza wengine ili baadae wakusifu.
::
MUOMBE MUNGU
::
KILA LA KHERI
=
 
Pole, ni maamuzi tu maana lazima upande mmoja uumie. Undugu na mama yako hauwezi kufa kwa kuolewa na huyo mkaka; ila ukimuacha mpenzio imetoka na who knows waweza pata handsome, tall, educated, rich but insenstive n abusive.

una akili wewe kama vile ulizaliwa kwa operation! Ni kweli ktk maisha si rahisi kupata mtu unayeendana naye, pale alipofall ndo palepale!
 
thehteh! jama ukistajabu ya musa utastajabu ya firauni! hizi ni tamaduni za kiafrica c wanyakyusa tu wache mila zao zitaamua jamaa
 
Wafupi wengi huwa warefu mahala fulani.Ndio kilichokuweka hapo...huna lolote.Dedication: Listen to your heart
 
hapa ndio pale watu wanapojinyonga maana mtu anashindwa kuamua...fanya maamuzi magumu mamii
 
Wanataka ku-share na ww hao hawana lolotee maana nahisi matusi yatawafaa cna ushaur ww lkn hao wanachotaka wavuliwe pichu kupitia huyoo wanaomtaka wao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom