Asanteni wote kwa michango yenye mantiki.nakubaliana na ule usemi kuwa "Unapomudu kudhibiti hasira zako na chuki dhidi ya wale wote wanaokupinga kifikra, hapo ndipo unapodhihirisha kuwa wewe ni kati ya wasomi walioelimika"
TAARIFA KWA UMMA
UKWELI KUHUSU MOROGORO PARALEGAL
Kufuatia taarifa za upotoshaji zilizoandikwa na mwanachama (Member) wa Mtandao wa kijamii wa Jamii Forums aliyejitambulisha kwa jina la "Inkognito" ambaye pamoja na mambo mengine alituma kwenye Mtandao huo taarifa alizozipa jina la...
TAARIFA KWA UMMA
UKWELI KUHUSU MOROGORO PARALEGAL
Kufuatia taarifa za upotoshaji zilizoandikwa na mwanachama (Member) wa Mtandao wa kijamii wa Jamii Forums aliyejitambulisha kwa jina la "Inkognito" ambaye pamoja na mambo mengine alituma kwenye Mtandao huo taarifa alizozipa jina la...
Naitwa Amani Mwaipaja-Mwanasheria Mshauri, Mtafiti na Mtetezi wa Haki za Binadamu. Nimekuwa Mwanasheria wa Morogoro Paralegal tangu mwaka 2007 hadi leo hii.
Baada ya kupitia maelezo ya Inkognito kuhusu Morogoro Paralegal, napenda kutoa taarifa za awali kuwa habari zilizoandikwa na Iknognito ni...
umejitahidi kidogo kueleza kuhusu nyerere,mkapa na mwinyi kwa kuoanisha baadhi ya masuala ya msingi lakini kwa kikwete umechemsha,kutoa mfano wa IQ ya kikwete kwa kutumia mfano jamii forum kumeonesha ni kwa kiasi gani IQ yako ilivyo na uwalakini,uhuru wa kuongea na kutoa mawazo yenye tija kwa...
Ndugu yangu fuatilia cv za watu ujue wana elimu gani,dk slaa ameenda shule,ana digrii ya sheria,masters huwez kumfananisha na dk wa uongo,dk wa kupewa JK
Kama aliingia chadema akiwa na lengo la kupata vyetu ajue alipotea njia,aende hukohuko nccr,pengine watampa cheo kikubwa zaidi ya alichokuwa nacho wakati alipokuwa chadema.Upo sawa mgafilika
Ni kawaida ya ccm kukurupuka,walijiandaa kuandamana,walipogundua kuwa wataonekana kituko na pengine kusababisha vurugu wakasitisha.taarifa kutoka ndani ya ccm zinasema kuwa vijana hao walionywa na vyombo vya usalama kuwa maandamano yao yatasabisha hasira na vurugu kutoka kwa wenye hasira na ccm...
Tusome Ibara ya 71 ya katiba ya tanzania,imeeleza wazi sababu zinazoweza kumfanya mbunge apoteze kiti chake cha ubunge,kitendo cha wabunge wa chadema hakiwezi kuwafanya wapoteze nafasi zao .Kesho nabandika kanuni
Inaonekana elimu ya uraia bado haijawaingia watanzani,kuna umuhimu kwa watanzania kuisoma katiba ili kujua mapungufu yaliyomo.Tuna kazi kubwa ya kuwaelimisha watanzania.Kitendo kilichofanywa na chadema kimemfanya Kikwete kuongea,pinda ameongea,chiligati ameongea,UVCCM wameongea,wanaojiita wasomi...
Anatayarisha mazingira kwa ajili ya hoja ya OIC na Mahakama ya kadhi lakini sidhani kama njia anayoitumia ni ya busara,atafute njia nyingine ya kuzungumzia udini lakini si kwa kupitia siasa
Inasikitisha sana,kuona wanaojiita wanafunzi wasomi wa dodoma kugeuzwa kuwa vikaragosi wa viongozi,hakuna hoja ya msingi wanayoileta mbele ya jamii wamebaki kumpamba kikwete na serikali yake iliyoshinda kwa ushindi wa misukule
Kuna mambo mengi yaliyolifikisha taifa katika hali ngumu ikiwemo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.