Recent content by Mwaipaja ima

  1. M

    Bilionea fisadi wa Tegeta Escrow, Rugemalila awa mfadhili mkuu wa CHADEMA

    Siamini kama Rugemalila ni fisadi angelikuwa fisadi angechukuliwa hatua mala moja kwa sababu ajachukuliwa hatua hivyo co fisadi
  2. M

    Wananchi wamshauri Magufuli kuongoza vipindi vinne mfululizo

    Acha ulimbukeni ww, et wananchi sema ww ndio unataka iwe ivyo na hii yote ni kutokana ww ni rahic kudanganyika nakufananisha na............
  3. M

    Utabiri: Muhongo atajiuzulu tena

    Muhongo ni mtu wa kawaida na tz ina watu wengi wenye uwezo zaid yke
  4. M

    Tuzo za Lowassa ni mkono wa kwaheri katika siasa za nchi hii

    Dhambi ya unafiki na hila uwezi iacha itakutafuna duniani na hata siku ya hukumu ya Mungu
  5. M

    Afisa wa Wanyama Pori TANAPA auawa kwa kuchinjwa kinyama

    Poleni sana wafiwa afisa wanyama poli Ar, pia poleni familia ya mpendwa wetu Mawazo pale Geita
  6. M

    Cleopa Msuya awafuata Lowassa na Sumaye?

    Chadema kuchaguliwa kuongoza jimbo ni haki yao sababu na wao ni wa tz vile vile ninashangaa baadhi ya watu kuona sehemu ikichaguliwa chadema wanashangaa na kuhisi kwamba ccm imeshindwa ni lazima iwe ivyo ile kuleta usawa kwa wa wa tz sasa majimbo mnaojiona ninyi bila ccm maisha yenu hayaendi...
  7. M

    Rais Magufuli atoa milioni moja kumsaidia mtoto Mlemavu

    Ngumu kuamini kwamba ipo cku mtz atapata haki zte za msingi za kibinadamu
  8. M

    Wahamiaji haramu 42 wakamatwa Kijitonyama

    Ao wajumbe watimize wajibu wao wanalipwa na nani, kazi ya kujitolea hiyo kaka
  9. M

    Gazeti la jana Mawio liliandika uongo wa Instagram (kuhusu DC Makonda), ombeni radhi now!

    Ww ndio msemaji wake? naona unajalibu kupangua hoja, kumbuka hii ni awamu ya tano, co ile mliokuwa mnajiamulia tu kufanya awamu ya fadhira na huruma.kama inawauma gazeti lipo kalishtakini na co kukanusha kienyeji.Na kuhusu gazeti et lituombe ladhi, mm ni msoaji sana wa hili gazeti sihitaji...
  10. M

    TBC 1 warusha harusi LIVE. Waziri Nape acharuka, awataka watoe maelezo ya kina

    Ni kweli kabisa, na ndio maana nimeacha kuangalia/kuckiliza tbc ni miaka mitatu(3) sasa. Na hii ni kwaajili ya mfumo uliojaa uvivu/unfiki nk
  11. M

    Yericko Nyerere kizimbani

    Ni njia nzuri Yericko kuelekea kuwa mwanaharakati kamili heshima kwako Yericko,achana nao hao ma ccm ya lumumba , Cdm ni chama makini na kinawanasheria makini na ndio maana ma ccm yanawabambikia wana chadema vijikesi vingine havina kichwa wala miguu lakini unakuta chama makini cdm kinazidi...
  12. M

    Donald Trump kuivua nguo Demokrasia ya USA!

    Nimelithibitisha hilo kwenye uchaguzi uliopita.Na bila kubadilisha katiba, na kuwa na tume huru, Cjiandikishi tena kwenye daftali la wapiga Kura maana yke ctapiga tena kura
  13. M

    TANESCO yawasimamisha kazi Maofisa 7 kutokana na makosa mbalimbali, wizi na ubadhilifu

    Mkurugenzi Tanesco acha kujihami, NA UO MTANDAO WA UNDUGU,UKABILA,UNATHILI SHIRIKA KWA KIWANGO KIKUBWA. ASILIMIA KUBWA MFANYAKAZI MKONGWE WA TANESCO ANA NDUGU YKE ALIE MPACHIKA TANESCO YOYOTE TZ BILA KUJALI SIFA ALIZO NAZO NA NI ZAID YA MMOJA.MF MTOTO WAKE, WA KAKAAKE,BINAMU, SHANGAZI, JIRANI...
  14. M

    Mwenyekiti wa UWT Arusha ajiunga CHADEMA leo

    Hongera sana m mama/ m dada kwa kujielewa ccm co chama ni kundi la wahuni
  15. M

    Kwa mliochagua Wabunge na Madiwani wa vyama vya upinzani, je kuna nafuu yoyote mnapata?

    Ni lazima cku moja CCM iondoke madarakani, CCM no, umeweka topic hii kwa maana gani, CCM icinge iba matokeo cc Ukawa tungeshika dola Rais , wabunge nk hapo ungeona utofauti wa mi ccm na Ukawa.Mumebaka demokrasia alafu unaongea ujinga
Back
Top Bottom