Recent content by MwaFreeca

  1. MwaFreeca

    JamiiForums Tanzania Ringtone ya simu yako ni wimbo wa msanii gani?

    Kila Wakati -Godzillah
  2. MwaFreeca

    JamiiForums Tanzania Kuna possibility ya kuwa na video assistant referee (VAR) next season NBC Premier league

    Hatuwezi kuweka VAR kwenye viwanja 16 Labda tufanye upendeleo kwa hizi timu kubwa zikiwa nyumbani ila ugenini tukabebwe kama kawaida😁😁 Imagine unafunga VAR manungu turiani alafu baada ya mechi mbili uwanja unafungiwa miundombinu mibovu
  3. MwaFreeca

    JamiiForums Tanzania No rasmi sasa Lavalava ndio king wa Piano bongo hii

    Sasa amapiano mbili ndio awe mfalme..? Marioo ametoa amapiano ngapi hit kitaani?
  4. MwaFreeca

    JamiiForums Tanzania No rasmi sasa Lavalava ndio king wa Piano bongo hii

    Hapo naijua Tajiri tu hizo nyngne sijui zimehit wap
  5. MwaFreeca

    JamiiForums Tanzania Msaada whatsapp

    Habari ndugu zangu, Nina shida Whatsapp yangu ilifungiwa kwasababu nilikua natumia GB whatsapp. Nikawasiliana nao kwa njia ya Email account ikafunguliwa. Nikatumia whatsapp official kwa muda wa miezi mitatu ikaja kukataa tena inaleta ujumbe huu hali yakuwa natumia Official whatsapp..
  6. MwaFreeca

    JamiiForums Tanzania Daaah, bodaboda bodaboda...inauma sana

    Hio stand kaweka nani kwanza tuanzie hapo?
  7. MwaFreeca

    JamiiForums Tanzania This account cannot use WhatsApp

    Sio wanao Tumia Unofficial whataapl tu.. Sisi watumiaji wa OPPO tunateseka mno.. Kama mimi simalizi week napigwa ban uki-reviuw wanakufungulia ndani ya 24 hrs
  8. MwaFreeca

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Ikitokea ya kujitolea nitafanya kwa moyo wote
  9. MwaFreeca

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Shukrani mkuu
  10. MwaFreeca

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Habari wana JF, Mimi ni mhitimu wa ufundi umeme majumbani mwaka wa pili. Nipo Dar Natafuta kazi hata ya kujitolea ili kuongeza ujuzi na uzoefu katika fani yangu. Nina imani hapa JF wapo watu watanisaidia katika hili. Asanteni🙏
  11. MwaFreeca

    JamiiForums Tanzania FT: Al Hilal 3 - 1 ES Tunis | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 01.12.2023

    Hivi hawa si ligi yao imesimama?
  12. MwaFreeca

    JamiiForums Tanzania FT: Al Hilal 3 - 1 ES Tunis | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 01.12.2023

    Hawa jamaa wapo vizuri mno
  13. MwaFreeca

    JamiiForums Tanzania Napata nguvu kushangilia Al Hilal

    Hakika.. Nilijua aAl hilal imepoteana ila kumbe bado wako vizuri mno wananistaajabisha hapa kwa mkapa
Back
Top Bottom