Mr Penal Code
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 823
- 216
- Thread starter
- #81
Ndio imeisha hio yaani wao wanakua wanafungia namba husika






daaa mzee hi ni permanent au baada ya muda wanakufungulia hiyo number??Ndio imeisha hio yaani wao wanakua wanafungia namba husika






daaa mzee hi ni permanent au baada ya muda wanakufungulia hiyo number??Au baada ya muda gan wanakutolea Ban mkuu? Ufafanuzi daaaUkitumia wasap gb wakikutia ban ndio imeisha hio mzee







Tumia Unofficial whataapl tu..Hawa jamaa wapo serious sana na watu wanaotumia whatspp GB ni hatari sana.




hawa jamaaa watanimaliza nitumie official Application tu sasa.Nimekuwa natumia GB whatsapp miaka mingi sasa juzi nikasema nidownload whatsapp ya kawaida aisee Iligoma kabisa kuinstall...!! Ni kitu haiajawahi tokea kabisa kwenye app yoyote kwangu nahisi wameb
Mkuu ulipata solution?.Nimekuwa natumia GB whatsapp miaka mingi sasa juzi nikasema nidownload whatsapp ya kawaida aisee Iligoma kabisa kuinstall...!! Ni kitu haiajawahi tokea kabisa kwenye app yoyote kwangu nahisi wameban sijui
Hawala hana talaka kajamaa kakitaka kupasha makabichi kanajirudi napichu unavuliwa tuNimeshatubu sirudi tena 😀