Recent content by MWACHIBILA

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mtu aliyesoma shahada ya sanaa na elimu je? Anaweza kufanya kazi gani nje ya ualimu

    Siku hizi hawaajiri ,wakiajili wakafundishe msingi
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeamini ugomvi ni sehemu ya maisha ya ndoa/mahusiano

    Kukwazana kawaida sna kwa wanandoa,vikombe kabatini vinagongana sembuse wanandoa?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Changamoto za Ajira Portal

    Hivi huko ajira portal watu wanapata kaz bila interview kweli?
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usisubiri mzazi akuombe ndio umpe, sio busara

    Umesomeka mkuu
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anakuja na kurudi siku hiyo hiyo!!

    Pole sana ndugu,kuna walakini Huyo mkeo anakusaliti huko aliko si bure kila wakati asingizie kurudi,jaribu kumwelezea hisia zako kwake atakuelewa.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ivi ni sahihi kupunguza sifa zako za elimu ili kuendana sifa za kazi iliyotangazwa?

    Inawezekana,nimewahi Fanya hivyo na nikapata Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake: "Humalizi tu, mimi nimechoka"

    Aisi hii ni kweli sometimes maneno yao yanakela
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Mume hataki kufanya mapenzi na mimi, anataka mtoto niliyezaa kabla ya kunioa

    jitahidi kuwa mtundu maana hilo ni tatizo
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ombi la kufundisha

    poa,ni mitihani ya semisita ya sita
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ombi la kufundisha

    Habari! Natafuta nafasi ya kufundisha katika shule za sekondari kuanzia muhula wa pili wa masomo yaani mwezi wa saba, nategemea kupata shahada ya kwanza ya ualimu mwezi huu. Masomo ya kufundishia ni KISWAHILI na HISTORIA.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kuwa Tigo freelancer

    fika ofisi za tigo zilizo karibu,ni bure .kipato kipo nikujituma kwako tu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Utumiaji wa GNLD na Forever Living products ni hatari?

    kimsingi wengi hawajapata elimu sahihi kuhusiana na bidhaa za forever,waliotumia ndio mashuhuda wazri wa bidhaa hizi(wanaziamini)
  13. M

    JamiiForums Tanzania Sijui Kiingereza,nilichekwa baada ya kubumunda lugha ya watu

    sorry madam,i didn't attend at your periods two days ago b'se i was ln the funeral
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wataalamu wa Kiswahili

    ka =hutumika katika udogoishi,mfano kasichana kazuri kamepita, KI hutumika kama kiambishi cha ngeli ya 4 ya KI _VI mfano kitabu kile kimechanika,pia ki hutumika kama kionyeshi mfano kisu kile,pia KI hutumika katika ukubwaishi ,mfano kiazi kikubwa,pia KI huonyesha urefu wa kitu,mfano kiatu...
Back
Top Bottom