Ivi ni sahihi kupunguza sifa zako za elimu ili kuendana sifa za kazi iliyotangazwa?

Ekyoma

JF-Expert Member
Dec 30, 2015
2,177
2,802
Habari zenu wakuu ivi ni sahihi kuficha au kupunguza sifa za kielimu ili kuendana na sifa za kazi husika? kama mjuavyo kuna watu tumesoma kuanzia certificate, diploma mpaka degree.

Sasa unakuta kazi inataka certificate wakati una vyeti vyote adi degree kwa mazingira hayo inafaa kuiomba kazi iyo kwa kuweka vyeti vyote au inabidi uweke kimoja icho cha certificate na ukiweka vyote hawawezi kukuondoa kuwa umezidi sifa? lakini pia usipoviweka itawezaje kuviwasilisha ukishaajiliwa msada wa mawazo tafadhari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe una fikra nzuri, Cha msingi hapo unapaswa kuweka cheti kulingana na mahitaji ya kazi (kujilipua) kwani wakati mwingine ukizingatia Vyeti Na Elimu yako inawezekana usipate kazi. This's my advice!!!
Asante mkuu kwa ushauri ila wakigundua una sifa kubwa hawawezi kukutimua kwa kudanganya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wakuu ivi ni sahihi kuficha au kupunguza sifa za kielimu ili kuendana na sifa za kazi husika? kama mjuavyo kuna watu tumesoma kuanzia certificate, diploma mpaka degree.

Sasa unakuta kazi inataka certificate wakati una vyeti vyote adi degree kwa mazingira hayo inafaa kuiomba kazi iyo kwa kuweka vyeti vyote au inabidi uweke kimoja icho cha certificate na ukiweka vyote hawawezi kukuondoa kuwa umezidi sifa? lakini pia usipoviweka itawezaje kuviwasilisha ukishaajiliwa msada wa mawazo tafadhari.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kijana omba kazi kulingana na sifa zilizotangazwa. Kama ni certificate edit cv na weka vyeti vya certificate tu. Ukiweka vyeti vya diploma unakuea over qualifield. Uzuri wa Serikalini kama itaingilia na cheti na una diploma au bachelar basi utafanyiwa recatagorization kutokana na elimu yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
edit cv vizuri omba uhakikishe gap la certificate hadi degree unaklifix vizuri usije ukaumbuka
 
Habari zenu wakuu ivi ni sahihi kuficha au kupunguza sifa za kielimu ili kuendana na sifa za kazi husika? kama mjuavyo kuna watu tumesoma kuanzia certificate, diploma mpaka degree.

Sasa unakuta kazi inataka certificate wakati una vyeti vyote adi degree kwa mazingira hayo inafaa kuiomba kazi iyo kwa kuweka vyeti vyote au inabidi uweke kimoja icho cha certificate na ukiweka vyote hawawezi kukuondoa kuwa umezidi sifa? lakini pia usipoviweka itawezaje kuviwasilisha ukishaajiliwa msada wa mawazo tafadhari.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unataka ukajaze nafasi za waliouwawa kibiti?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kitu kinaitwa "sifa za ziada" au wanasema "added advantage". Onyesha vyote na kwamba unaridhia salary ya certificate inayotakiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Usimdanganye;akileta vyote anapigwa chini fasta.Uzoefu unaonesha wakiingia kazini wanataka wapandishwe daraja kutoka B hadi D.hambavyo serikali ilitarajia ukiongeza elimu Utafikisha C then D.ambaPo unaweza kufikia had I miaka 10 kufikia D
 
Habari zenu wakuu ivi ni sahihi kuficha au kupunguza sifa za kielimu ili kuendana na sifa za kazi husika? kama mjuavyo kuna watu tumesoma kuanzia certificate, diploma mpaka degree.

Sasa unakuta kazi inataka certificate wakati una vyeti vyote adi degree kwa mazingira hayo inafaa kuiomba kazi iyo kwa kuweka vyeti vyote au inabidi uweke kimoja icho cha certificate na ukiweka vyote hawawezi kukuondoa kuwa umezidi sifa? lakini pia usipoviweka itawezaje kuviwasilisha ukishaajiliwa msada wa mawazo tafadhari.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ekyoma kyagila ekutu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom