Salome! Kauli hiyo ya Mh. Rais haipaswi kuangaliwa kiushabiki wala kiunazi wa kisiasa! Tambua kuwa kauli ya AMIRI JESHI MKUU huwa ndio ya mwisho! Je, huoni kwamba vita ya wenyewe kwa wenyewe iko njiani kutokana na kauli hiyo? Ni vema kama Mh. Rais angefuta kauli yake ili kulinusuru taifa. CCM...
Nami sioni kama ni sahihi sana kutokana na wakati! Hata kama ana haki na ana sifa za kuwa kiongozi, ingekuwa vema angesubiri 2015 ili apate muda wa kuombeleza kifo cha babake. Vinginevyo ndio maana nami napata hisia ya utawala wa kurithishana.
Tangu lini CCM tukawa wanyonge? Majeshi yote yetu, usalama wa taifa wetu. Inakuaje tuanze kupambana na hao tunaowaita wanatuonea kwa fujo zao? Kwanini tusipambane nao kwa kuwapa huduma bora wananchi ili kuwaziba midomo na kudhibiti fujo zao?
Kweli ndugu! Na tayari YESU ameshamdhibiti na hata kwepa adhabu ya milele. The same applies to ZZK ktk siasa za Tz na kujidaia ukongwe wake kwny chama na uchu wa madaraka ya sifaa badala ya kuwatumikia wananchi.
Mmehudhuria mikutano yote ya Dr.Slaa au mnakurupuka tu. Nilihudhuria mikutano mingi ya kampeni za uchaguzi mdogo waa Arumeru Mashariki mwaka jana. Alimchana sana huyo ENL! Slaa mtu makini bhana, hawezi kuwa na AJENDA YA KUMZUNGUMZIA ENL ktk kila mkutano wake!
Umezungumzia ubaguzi kwa mtazamo finyu sana. Ubaguzi unaofanywa na CCM ni zaidi hata na uliofanywa na makaburu, kwani makuburu hawakuwa waafrika wenzetu lakini CCM ni watanzania wenzetu. Dr.Slaa hata hivyo nafikiri alitumia maneno mepesi zaidi kuliko na ambavyo alipaswa kusema kuonesha ubaguzi...
@ Gamba la Nyoka, Haki ipi apatiwe mwanachama anayevunja katiba ya chama? Mbona CCM walimfanyia mizengwe ya chini chini JMS kutangaza adhma ya kupambana na JMK ktk kuteuliwa na chama kuwania uraisi ktk muda na wakati sahihi kwa mujibu wa katiba ya chama hata akaamua kujitoa mwenyewe.Hiyo ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.