Geofrey Andrew Sanga
JF-Expert Member
- Apr 8, 2013
- 251
- 55
That's the meaning of a person with real doctorate not that shame doc
nakushauri kufanya tafiti kwanza kabla hujaenda kenye conclusion -iliwekwa picha hapa ya uongo kuonyesha yupo KAHAMA ambayo yeye aligonga LIKE kuashiria ile nyomi ndiyo iliyokuwapo siku alipohutubia Kahama, picha ambazo Mods walizibaini ni za uongo na kuifunga thread-unawezaje kusema haji mitandaoni? huyo mzee ni muongo na ndio maana amekuwa akitoa kauli zenye kukinzana mara kwa mara na kwa taarifa yako ndiye mratibu wa Scandals nyingi zinazomuhusu ZZK ili kumbeba Mbowe kama alivyofanya Mbowe kumbeba yeye pale ZZK alipotangaza kugombea URAIS-generally kutokana na yeye kuanza MFUMO wa maisha mapya uzeeni(familia mpya na mtoto mchanga) is so much confronted na mahitaji na kwa ajili hiyo hawezi kufanya/kutenda nje ya mahitaji yake ya kimwili na ndicho anachokifanya sasa huyu mzee na ilifika wana CDM wenyewe mtandaoni waliwahi kumkemea kwa tabia iliyoonyeshwa na MSHUMBUSI kuwa anavyo m-control mzee alikuwa akitumia hadi ID ya SLAA kutoa majibu ya kibwege mtandaoni-kimsingi mzee hana say kwa mama na wahuni wachache (wachumia tumbo wa CDM)
fanya utafiti kidogo
Mkuu Petero , asante kwa hii manna angalau angalau na thread za Dr.
Exactly!Kwenye post yako nakazia kwaukomavu huo Anafa kuwa Rais wa Tanzania
UNAFIKI ni subjective-hata MANDELA, MAKABURU walimuona MNAFIKI-inawezekana wewe ni KABURU-wachaga wote na watu ambao ni microscopic wanamuona ZZK msaliti-BAREGU, ARFI na MKUMBO wanamuona jembe na ndio maana muandishi mmoja kasema wanaompa support Mbowe(form IV) ni SUGU(form III), MNYIKA (form VI), LEMA( Dip -chuo hakijulikani), MSIGWA (std VII) etc na anaomuunga mkono ZZK ni wenye mawazo mapana kama yeye na inawezekana ugomvi ni UFAHAMU vs ..........................
Nenda shule kwanza huna akili wewe
Natamani sana kuwa kama yeye. Kwa juma zima hili, Dr.Slaa amekuwa akifanya ziara katika Kanda ya Ziwa Magharibi ukiwemo mkoa wa Kigoma.Katika ziara hiyo,kuna taarifa mbalimbali. Kuna zinazosema kuwa Dr.Slaa amefanyiwa/anafanyiwa/atafanyiwa vurugu na hivyo ziara zake zimedorora. Kuna taarifa toka Kurugenzi ya Habari ya CHADEMA kuwa ziara zake zinafana na kuendelea vyema.
Dr.W.Slaa,pamoja na kusemwa tofautitofauti,anasonga mbele.Hajawahi kukimbilia mitandaoni kukanusha au kupambisha ziara zake na kinachoendelea. Wangekuwa akina fulani hapa pangejaa mabandiko yao. Dr.W.Slaa ni mfano wa kuigwa wa wanasiasa. Yeye anajali zaidi kujenga hoja na kuacha mengine kupita bila ya yeye kuhusika. Mwanasiasa huyu kiboko!
Ziara za Kigoma zinasemwa kama kupambana na Zitto. Lakini si kweli. Dr.Slaa anajua fika kuhusu hilo.Ndiyo maana yeye anaendelea na ziara za kukagua na kuimarisha chama chake huku akiyaacha mambo mazito ya Zitto yaendelee kujadiliwa kichama.Hakuna hata hotuba moja iliyoripotiwa humu au kwingineko ambapo Dr.W.Slaa amemzungumzia Zitto. Huu ni ukomavu.
Wote wanaopanga kuvuruga mikutanoya Dr.W.Slaa wanashindwa.Watashindwa kwakuwa yeye si mkorofi na hajibu mapigo.Yuko tofauti sana mwanasiasa huyu. Hakuna haja ya kukodi au kusafirisha watu wa kuvuruga mikutano yake. Wavurugaji watavurugwa wao. Busara za Dr.W.Slaa ni ulinzi wake tosha.
Kila la kheri Dr.Wilbrod Peter Slaa. Mungu atakutangulia!
Muhimu: Mimi si mwanachama wa chama chochote cha siasa hapa Tanzania au kwingineko duniani. Nasema ukweli tu
Mkuu Pasco,mimi naitwa Petro Eusebius Mselewa. Siitwi Petero...ha ha ha ha ha ha ha Pamoja sana Msomi mwenzangu!