Harakati za Zitto na mikutano yake ya sasa Kigoma zimekiingizia chama wanachama wangapi?

Status
Not open for further replies.
Kwa uchache sana babu yenu mikutano ya Mtani Jembe(SIMBA) inamnyima usingizi mpaka kwa muweweseko eti anamzuia asifanye mikutano. Mwambieni aachane kabisa na kijana na atatembea nchi nzima kukutana na wafuasi wake wote na mwisho atamalizia dar. Hapa ndio itakuwa funika bovu
 
Taarifa rasmi zilizowasilishwa makao makuu pale Ufipa ni kwamba mikutano yake iliingiza wanachama wapya kama ifuatavyo:-

(i) Mwandiga: -23
(ii) Kasulu: -24
(iii) Kibondo: -17
(iv) Kakonko: -8
(v) Kigoma Mjini: -12

Jumla: -84. Hiyo ndio idadi ya wanachama wapya ambao Mh. alikiingizia Chama ukilinganisha na ile ya Katibu Mkuu kwa Mkoa wa Kigoma ambayo inafikia 589.


Nyie nao mnavituko sana wana CDM, kwanza mmemtimua na kumvua vyeo vyake.pia mnazunguuka nchi nzima kumsema yeye,Wakati huo huo mnataka awaingizie wanachama,KI-VIPI?
MBONA MNA-WEWESEKA
 
Mkuu,Zitto anafanya vitu viwili,1) harakati za kuitisha KK ya CHADEMA na 22) maandalizi ya kuhamia NCCR- MAGEUZI baada ya kufutwa uanachama,tambua Mbatia hakupewa ubunge tu hivi hivi bali ni shukrani na maandalizi ya 2015,we will see!!
Tuko pamoja kaka! Naomba CDM wamtimue na aende kwa wasaliti wenzake kwa watz.
 
Nyie nao mnavituko sana wana CDM, kwanza mmemtimua na kumvua vyeo vyake.pia mnazunguuka nchi nzima kumsema yeye,Wakati huo huo mnataka awaingizie wanachama,KI-VIPI?
MBONA MNA-WEWESEKA

kama hivyo ndivyo kwanini anadai kufanya mikutano kwa niaba ya cdm ?
 
inategemea lengo lake lilikuwa nini??

kwani Mbowe alivyojilipua Dubai na mtoto wa kike waliingiza wanachama wangapi?? unataka kusema Mbowe hakipendi chadema??

Kajipange urudie upya mitihani yako,Div.V haitakusaidia kabisa,angalia majibu yako yalivyo nani alaumiwe?
 
Lawama zote zimuendee Dr.Slaa ni kwa nini haitishi baraza kuu ili huyu kikaragosi aonyeshwe mlango wa kutokea?
 
Huyu dogo afukuzwe kabisa hafai ndani ya chama,maana mabilioni aliyopewa ili aivuruge chadema wamemtia kiburi kweli kweli!hawa jamaa wa usalama wa taifa pamoja na timu ya Wasira,Membe,Mwigulu na Lukuvi hawana lengo zuri na watanzania maana ndiyo waliompa huyu kijana pesa ili akivuruge chama na kutesa watu ili kisingiziwe chadema watu wakose imani nacho na hivyo kuinusuru ccm dhidi ya kushindwa uchaguzi mkuu 2015,sasa nawaambia enyi mliowashenzi na mafedhuri kwamba chadema tulianza na Mungu tutamaliza na Mungu!!!2015 Rais wa nchi ya wazalendo na mzalendo wa kweli itatoka Chadema kubali kataa huwo ndio ukweli,ccm uvurugaji mlioivuruga hii nchi kama siyo watanzania kuongozwa na subira haki tungeliweza kuandamana maandamano yasiyo na ukomo tuone kama kuna ccm kubaki madarakani tunawasitahi tu sasa wakati wa kuvumilia umekwisha tunasema hatutaki tena ccm madarakani!!!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom