nape kuna nyimbo ya mashabiki wa Liverpool " U will Never Walk Alone"
Kaka hata Kama familia imekutosa sisi ndugu Zako tupo hapa JF lakini hata mbeya tupo sisi ndg Zako hasa Kule Rungweeeeeeeeeeee na mzeee wetu amerejea salama kutoka india so u will never walk aloneeeee
QUOTE=THE...
nape kuna nyimbo ya mashabiki wa Liverpool " U will Never Walk Alone"
Kaka hata Kama familia imekutosa sisi ndugu Zako tupo hapa JF lakini hata mbeya tupo sisi ndg Zako hasa Kule Rungweeeeeeeeeeee na mzeee wetu amerejea salama kutoka india
QUOTE=THE ROMANTIC;2933537]Ni miaka kumi...
Wana Jf
katika kufatilia baadhi ya mambo nimepata kufahamu yafuatayo
(1)Mh sugu Ana uraia wa Tz na USA
(2)Mh Membe Ana urai wa Tz na Canada
(3)Mh Letecia Nyerere Ana uraia wa Tz na USA
(4)Mh Nyalandu Ana uarai wa Tz na USA
wana Jf Uchunguzi unaendelea Kama mnataatifa zaidi mnaweza...
Wana Jf
Leo majira ya saa Tisa mpaka saa kumi jioni Mh Bernad Membe alikutana na Prince walifanya kikao cha Siri kwa zaidi ya saa moja na baada ya kikao chao hicho Membe alisikika akimpigia sim Bwana Mukama na kumuambia Tayari ameongea na Mpiganaji na atamueleza mzee kwahiyo asiwe na Shaka...
Umepotosha mengi saaaana na ww ni muasisi wa siasa za uongo CCM vijana wenzio walikufukuza ndani ya Uvccm,Unakumbuka uliandaa paper ya uongo kupeleka kwa JK kuwa kuna watu wemekaa Moro kumuondoa JK? Usishangae Leo
Nape mm si John pia unadai huu ni uongo na upotoshaji kuna mpotoshaji zaidi yako?nikumbushe umesahau ulivoandaa paper ya uongo kuwa JK ataondolewa madatakani na kina lowers?umesahau jinsi ulivowapotosha wana Magamba wenzio Igunga kuwa CDM wameleta mungiki ikabidi vijana wenu wakavamie msafara...
Wana JF,
Baada ya kikao cha NEC dodoma Mh MEMBE alimwaaita wajumbe wa NEC wafuatao na Kufanya NAO kikao Nyumbani kwake wajumbe hao ni
NAPE NNAUYE
Capt CHILIGATI
LUSINDE maarufu kwa Jina kibajaji
Makongoro Nyerere
Mzee Samweli sita ambae alifatwa nyumbani kwake akiwa amejipumzisha
Ndg Wilson...
Taarifa mpya CCM mkoa wanajaribu kumuokoa ili asipelekwe mahakamani kesho, Jeshi la Polisi linataka wampeleke Mahakamani.
Hapa Nzega nilipofikia kuna kijiwe kinaitwa Meza ya Duara wanadai mgogoro huo umekua mkubwa kwakua Serekali ilitaka kuwalipa Fidia watu ambao walikua na Haki watu hao...
Wana jf naendelea kupata taarifa hapa hoteli niliyofikia inayoitwa Nzega Motel,Ni kwamba wanaanchi walikasirika baada ya kuona mbunge wao ameenda faragha na muwekezaji wa huo mgodi mdogo.
Baada ya kuona hivo walianza kurusha mawe na jiwe kumpata Muwekezaji kichwani ambae sasa amelazwa...
Wana Jf nipo nzega nikitoka Mwanza katika ziara ya Ndg ridhwani kikwete.
Usiku huu nikiwa napata chakula nikasikia Risasi zinalia Mjini nikaamua kufatilia na kupata taarifa kuwa Kuna Mgodi ambao unaitwa Isunga Ngwanda ambao siku Mbili zilizopita Mbunge na Wananchi waliungana Kuufunga.
Leo...
Wana Jf
Baada ya kutoka Magu Ridhwani kikwete aliamua kuhama hoteli ya Golden Crest na Kuhamia Hoteli ya Malaika uamuzi huu umesababisha wanahabari waliokua wamefikia na kulipia Vyumba katika Hoteli hiyo kuambiwa watoke kwa ajili ya kulinda usalama wa Mtoto wa Rais.
Tukio hili Binafsi...
Wana JF Bwana yesu awe. Pamoja nanyi na kwa waislamu Asalama aleko.
Leo hapa kwetu magu kuna sherehe ktk sekondari ya wahitimu wa kidato cha NNE wana habari na wakazi wengi wa mwanza wamekuja kumuunga mkono mtoto wa rais ktk hafla hii.
Lililo nisukuma ni jambo moja baada ya hotuba bwana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.