Nadhani walikuwa wanajipanga maana ukienda mahakamani kustaki lazima uwe umejiweka sawasawa kwa lengo la kupata unachopigania
Sent using Jamii Forums mobile app
R.I.P Norah,wale wenye familia kwa issue kama hizi,ni vema ukipata mgani nyumbani kwako mtafutie chumba cha peke yake,usimchanganye na watoto.Alale mwenyewe hakuna cha kuaminiana nowdays.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama hii miswada haiwahusu hawa Investors wa awali ina maana wao Acacia wataendelea na mambo yao km kawa,kwa mantiki hiyo,hakutakuwa kuwa tena na mashtaka.
Kuna ibada moja kutoka kwa Mzee wa kuliamsha DUDE,alisema Polisi kabla ya kwenda kupambana na hao wahalifu inabidi wafanye maombi maana kuna uwezekano wakawa wanapambana na watu wasio binadamu wa kawaida.
Watoto wa siku hizi wamepinga,sasa bila kuwapiga biti km la Magu mimba zitazidi kwa kuwa wanajua si tutasoma tu.Kwanza wengine sio kwamba wanapata mimba kwa bahati mbaya,huwa wanataka wenyewe.Sasa bila kuwapiga marufuku ya kurudi shule,primary watafeli,form 4 mazero yatakuwa mengi kwa sababu ya...
Uingereza kwa sasa inaandamwa na matukio ya kila aina,sijui kuna pepo gani limeingia pale.Theresa may toka aingie ni mwendo wa matukio ya mauwaji,nahisi kuna watu wanatia fitina kutokana na Uingereza kutaka kujitoa EU.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.