Sikieni CCM mnaolimezea mate jimbo la Lissu

Sikieni CCM mnaolimezea mate jimbo la Lissu

Yaani kutoka moyoni mwenyezi Mungu amlinde baba huyu, maana ninampenda sana aisee.
 
Mleta mada tafadhalini sana muanze kumtafuta mtu mwingine kuwa Mbunge wenu, kuna kazi maalum ya kitaifa tunataka kumpatia. ... Lissu
 
Sisi wanasingida Mashariki na Wanaikungi kwa ujumla tuna sema, Tundu Lissu ataendelea kuwepo sana kama mbunge wetu, tena ikiwezekana hata awe mbunge wa maisha mpaka hapo atakapoamua yeye kutogombea Ikungi Magharibi.

Tulitaka aende kuwatetea na ndugu zetu wa Singida mjini lakini sasa figisufigusu zenu za kuchelewesha pesa za maendeleo Ikungi ndio zinatufanya tuendelee kumhitaji zaidi. Singida Magharibi CCM mtu hatii mguu kogombea kushidana na Lissu, hilo jimbo lishakua na mwenyewe.Ameshindwa kaka yake mara mbili mfululizo sijui mtamweka nani ashindane nae tena. Kuna taarifa kua DC Mtaturu anataka abaki pale pale, tena sio mzawa wa Ikungi ajaribu aone atakavyogaragazwa.

"Lessu mnyikimbu na Gidea witru mutruja mumudahee kukhae" Tatizo linalowaumiza ni kwamba the man is a national figure, mnataka kumnyamazisha kwa kumpokonya jimbo hamuwezi ng'ooo.


Nimesema kwa niaba ya wana wa Ikungi, hutaki kuelewa sawa tu lakini kidogo tu 2020 sio mbali mtaona.

Siasa za ubaguzi at work
 
Endeleeni kumtia ujinga hivyo hivyo! Aache ya kwao ajenge yenu kisha mje mtukana baadae kuwa ni msaliti na anatoka mkoa maskini kwa wavivu...

Ni heri hata angeboresha hiyo alizeti kuliko sifa za kijinga mnazompa awajengee chama kisha Ruzuku mpeleke migombani.

Siku yake ipo atakumbuka shuka kumekucha akiona singida kumebaki vumbi tu ila huko migombani kumenawiri kwakua yeye yupo too busy na kelele ila nyie mpo busy divert project ziende migombani.

Mna dhambi ya mauti.

Sent using Jamii Forums mobile app
umeshaamua kuwa kinikia kabisa. Unajua siasa zako zinaendeshwa na narcism Fulani. Hapo ulipo ni km Bari linalobadili gear zote mfulilizo bile kujali direction ya gari , crank shaft na momentum take. Huwa unalia ukabila, ukanda, udini, na kujifanya wewe ndie victim. Instantly upon ktk tune na akina ponds ukihamasisha hayo dhidi ya wengine. Na unafurahia sana wengine , wakifanyiwa unyama. Kwa akiki yako unajifanya mjanja. Mungu wetu huwa anawaumbua wale wenzio wa underworld ktk big stage mliyojiandalia wenyewe. Aliyeponyoka kuingiza hasara, kajikuta yupo ktk déjà vu , kajikuta akiporwa mahari mbele ya wakwe na mdeni wake. Sasa wanajifanya victim wa Lissu. Keep on ze eskariot.
 
Back
Top Bottom