Shambulio la kigaidi vidi ya Waislamu London.

mvombeji

Member
Oct 18, 2012
27
45
Uingereza kwa sasa inaandamwa na matukio ya kila aina,sijui kuna pepo gani limeingia pale.Theresa may toka aingie ni mwendo wa matukio ya mauwaji,nahisi kuna watu wanatia fitina kutokana na Uingereza kutaka kujitoa EU.
 

Criterion

JF-Expert Member
Jan 8, 2008
10,778
2,000
Hayo ni matokeo ya kucheka na magaidi!. wemekaribisha miarabu sasa inahamishia ushetani wake kwao!. Waarabu siyo watu wa kuwakarimu kama binadamu kwa kuwa wkao ubinadamu hauko! Unyama unyama, ushetai ushetani. Kuiba, kuchinja na kuharibu ndiyo uhai wa waarabu hawa.

3811112.jpg
 

simplemind

JF-Expert Member
Apr 10, 2009
15,182
2,000
Thinking aloud mainstream headlines scream
-Cowardly Christian terrorist attack on praying Muslims
-Christian terrorism a clear and present danger.
It will never happen .
 

Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Feb 19, 2011
7,608
2,000
Waislam majanga mengi wanajitakia wenyewe. Wewe fikiria mtu anaua watu au mwenzako kisha anakula wakati wa mfungo, who the hell cares? Unamkataza mwenzio asile mchana wewe ni nani? Au unawachukia wazungu wakati unaishi katika nchi yao, why go there? Kama unataka ku-impose Islamic values kwanini usikimbilie nchi za kiarab uone jinsi utakavyopendwa huko? Waislam mjirekebishe jamani, mengi mnajitakia wenyewe.
 

Sele Mkonje

JF-Expert Member
Oct 2, 2011
643
1,000
Waislam majanga mengi wanajitakia wenyewe. Wewe fikiria mtu anaua watu au mwenzako kisha anakula wakati wa mfungo, who the hell cares? Unamkataza mwenzio asile mchana wewe ni nani? Au unawachukia wazungu wakati unaishi katika nchi yao, why go there? Kama unataka ku-impose Islamic values kwanini usikimbilie nchi za kiarab uone jinsi utakavyopendwa huko? Waislam mjirekebishe jamani, mengi mnajitakia wenyewe.
kwahiyo bora walivyogongwa eeh?
 

BlackPanther

JF-Expert Member
Nov 25, 2015
7,648
2,000
Unataka nione hadi unapoishia kuona wewe?
UKisha kuwa na akili ya kiislam wewe ni shetani moja kwa moja na haijalishi una rangi gani . Matokeo ya usialm ni uharibifu juu ya udnia. Uislam ndiyo completeness ya shetani.

images


2d10202827-131219-british-soldier-killed-920a.nbcnews-ux-2880-1000.jpg

Ndugu yangu Tabby kuwa na kauli nzuri kamanda,,, waarabu wamekukosea nini?waislamu wamekukosea nini? Why uschangie kama wengine bila kuingiza udini,rangi na kutoa maneno machafu. Hiyo mizungu imekupatia nini haswaa mpaka unaisujudia kihivyo???? Kumbuka hii dunia ndugu, 2napita tu mimi leo wewe kesho. So punguza maneno makali Mkuu. Na muogope Mungu
 

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
21,257
2,000
Wacha waonje Moto
Wao ndio walio shirikiana na Wapuuzi wenzie kuiharibu iraq na kwingineko

Leo umekimbilia kupost pumba zako za kushabikia bila kusoma taarifa kamili, taarifa ni kwamba mumegeuziwa, wazungu ndio wameanza ugaidi dhidi ya waislamu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom