Recent content by Mvangila

  1. M

    Rais Magufuli afanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa UN, Antonio Guterres

    Safi sana Rais wetu Tangaza Tanzania kwa kuimarisha lugha yetu ya Kiswahili sis wananchi tupo nyuma yako. Tunaahidi kukuunga mkono katika juhudi zako kubwa za kuijenga nchi yetu. Big up Baba!
  2. M

    Kwanini Lowassa na Sumaye hawakaujiunga na upinzani tangia 1995 kama Lipumba na wengineo?

    Kuna nidhamu original na feki, hao unaowaona wanahangaika kuhamahama leo ni wale wenye nidhamu feki waliyokuwa wanamuonyesha Hayati baba wa Taifa, Sasa wameona hayupo wanaonyesha tabia zao original.
  3. M

    Lowassa, Sumaye waibukia bungeni

    Uongozi ni dhamana, ukiuchezea utaukumbuka milele hata ukikaa nje bado utatamani urudi kwa namna tofauti, hata hivyo inatupasa kusahau yaliyopita kwa tuliochezea shilingi chooni. maana tukiendelea kukumbuka tutaumiza mioyo yetu bure!!!
  4. M

    Vyama vitano kushiriki uchaguzi wa marudio Zanzibar

    Tumkabidhi Mungu ashughulike na wanaotaka kuvunja amani ya nchi yet
  5. M

    NCCR Mageuzi: Lowassa ajieleze kama ataendelea kubaki CHADEMA akikatwa jina 2020

    Siasa ni wito na kuthubutu, ukiweza thubutu! mwenzenu amethubutu na anaendelea kuthubutu wanao mpenda wamuunge mkono usiyempenda kaa kimya au na wewe thubutu uungwe mkono. si jambo jema kumvunja moyo mwenzenu anayehisi umma unamhtaji. Malumbano ya nini, gombea wakuunge mkono au wakukatae. Hakuna...
  6. M

    NCCR Mageuzi: Lowassa ajieleze kama ataendelea kubaki CHADEMA akikatwa jina 2020

    Siasa ni wito na kuthubutu, ukiweza thubutu! mwenzenu amethubutu na anaendelea kuthubutu wanao mpenda wamuunge mkono usiyempenda kaa kimya au na wewe thubutu uungwe mkono. si jambo jema kumvunja moyo mwenzenu anayehisi umma unamhtaji. Malumbano ya nini, gombea wakuunge mkono au wakukatae. Hakuna...
  7. M

    CCM tuna hali mbaya sana, inasikitisha kweli!

    Hapa tumepata funzo, kumbe kesho nzuri ni lazima iandaliwe leo; wengi walichagua wabunge kwa kutegemea kesho nzuri itaandaliwa kesho. sasa haya ndo matokeo. Kuna haja kubwa ya sisi wapiga kura kujitathimini vigezo tunavyotumia kumchagua mtu kuwa mbunge. pamoja na sifa nyinginezo lakini elimu...
  8. M

    Nchi haina furaha kabisa, kwa maoni yangu

    hizo ni dalada za wapi Arusha au Nairobi? Mbona sehemu zingine zote kuna shamrashamra za fijo na vigelegele?
  9. M

    Wazanzibari mmelikoroga Kikatiba katika uchaguzi, sasa mlinywe

    Kama wazee wetu tuliowategemea katika masuala mbalimbali ya kisiasa wamepoteza mwelekeo, unategemea nini kwa kizazi kisichojua hata chimbuko la muungano huu? Bila shaka hawawezi kuona umuhimu wake. ipo haja wa elimu kuhusu nchi yetu na historia vianze kufundishwa upya kwa mtaala mpya kabisa. ili...
  10. M

    Ipi ni bendera halisi ya CHADEMA kati ya hizi

    Jamani Tundu Lissu kapotelea wapi? mbona simsikii na simuoni?
  11. M

    Lowasa si Buhari wa Tanzania. CHADEMA na UKAWA jiandaeni kwa kipigo

    Vidole viwili maana yake watashika nafasi ya pili
  12. M

    Asante lowasa kwa kutuonesha unafiki wa CHADEMA

    Waambie, maana watu wagumu kuelewa, na ukiwaambia ukweli wanadai kuwa wewe ni ccm! inamaana hakuna vyama zaidi ya ccm? hakuna watu wasio na mlengo wa chama chochote? Ukweli utabaki kuwa ukweli tu daima!
  13. M

    Mafisadi kuhamia CHADEMA?

    Hivi ni sahihi mtu kuharibu nyumba yake kwa makusudi na kisha kuhamia nyumba ya jirani. Mimi ni mwana ccm tena ukimichanja damu yangu ni ya ccm. lakini nasema hivi wanao dhani ccm ni mbovu wao ndo wabovu na wahame wote watuachie chama chetu tubaki wapenzi na watu tulio jazwa na misingi na sera...
  14. M

    Dr. Eve Hawa Sinare atangaza Kuhama CCM

    Ameamua vizuri
Back
Top Bottom