Usisahau zao linaloongoza kuipatia tz fedha za kigeni ni korosho.nakukumbusha pato la ges linawekwa ktk takwimu za dar.lakini pia kumbuka kuna mladi mkubwa wa lng unakuja ndio utakuwa mladi mkubwa kuingizia fedha tz unatoka lindi,kuna hifadhi kubwa ya ges bahari kuu bado haijachibwa ipo lindi
Kanda yakusini ipo juu kimapato,ispokua ges ya kilwa yaani songas inaesabiwa ktk pato la dar na ya mtwara pia.wakati kanda ya ziwa pato la dhahabu nk linawekwa ktk mikoa husika
Jpm namkubali ktk mambo mengi tu na simkubali ktk machache sana.tatizo la nchi hii lipo ktk unafki wa kidini.ktk maraisi wote waliowahi kuongoza nchi hii hakuna aliegusa kila idara kuifanyia mambo mazuri kama jk. Ingawa ni ukweli ktk uongozi wake wizi mwingi sana na ukwepaji kodi umefanyika...
Mkuu ulitaka apokelewe na Biden pale JFK,unajua hii ni aina gani ya safari kwa hawa wakuu wa nchi wanachama wa UN?
Work visit haihitaji mambwembwe yale kama State visit sijui mizinga 21 na upokelewe kwa gwaride,hii ni ziara ya kikazi tena UN siyo kwenye Serikali ya US hivyo si Biden wala Harris...
Munachoshindwa kuele kuna ziara za aina 2,unaweza kuwa na ziara kwa ajiri ya taifa huska na ziara za mikutano ni vitu viwili tofauti.hii ya samia ni yamkutano tu!
Hata akienda ktk mikutano ya sadec huwa hivyo au umoja wa afrika. Ila ingelikuwa ziara ya mwaliko wa marekani ungeona bwebwe nyingi
Unahitaji kuelimishwa alijenga machinga comprex ni jk haijalishi fedha imetoka wapi, na lile daraja la ubungo utajema wamejenga wazungu kisa tu wametoa fedha? Na miladi yote inavyanzo vyake vya fedha ila anaetajwa ni yule alieidhinisha fedha kutoka kwaajili ya mladi husika
Sidhani kama kinana ana asili yakisomali, kuna baazi ya maeneo hapa nchini yana shombeshombe ya kiarabu lakini sio wasomali.kama pemba kilwa na tanga nk
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.