Tunauza na kubandika wallpapers majumbani, ofisini, cafè, dukani, saloon, etc wallpaper zetu ni za materials za hali ya juu (grade 1) ngumu ambazo zinakaa miaka 8 na kuendelea.
Tuna design nyingi na mafundi walio wazoefu kwa kazi ya kubandika bei ni nafuu mno mpaka tunashangaa unakosaj sasa...