Nyumba inapangishwa Goba Km 2 kutoka bagamoyo road

geometry

JF-Expert Member
Oct 30, 2014
466
356
Nyumba ipo km 2 kutoka bagamoyo road njia ya kwenda Goba
Nyumba ina master moja na chumba cha kawaida
Choo cha ndani
Sitting room
Jiko na stoo
7e8f6b9d5b7716ee206a2b7e864d27c3.jpg
1f44134f64c34649fd2b3111ac380253.jpg


Mawasiliano:0719573444
 
Huyu si kashaitangaza humu kwenye jamvi toka wiki jana si ile ambayo haina umeme aliyosema anataka kwa mwezi 150,000.
 
SASA BILA UMEME LAKI NA NUSU YA NN? UNAISHI NYUMBA YA LAKI NA NUSU KISHA UNATUMIA KIBATALI...SIMU UNACHAJI KWENYE VIBANDA VYA SIMU...TAARIFA YA HABARI UNAITAZAMIA KWENYE BAR.....BORA UISHI YA 30 YENYE UMEME.

_______________________________________________________________
Huyu si kashaitangaza humu kwenye jamvi toka wiki jana si ile ambayo haina umeme aliyosema anataka kwa mwezi 150,000.
 
Nikweli yule wa laki na nusu nimeona bandiko lake jipya kapunguza hadi laki moja, sema huyu bwana geometry hajaweka bei dharani mimi mwenyewe natafuta nyumba ila mimi nataka iwe mivumoni njia ya madale.

Sent from my HUAWEI Y625-U32 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom