Mkuu habari, ninaihitaji huduma hii kwa ajili ya NGO ya ndugu yangu. Ningependa kujua ofisi yako ilipo pamoja na details zako ili nijue uhalisia/uhalali wa mtu/kampuni itakayonipa huduma.
Huduma hii inahitajika kwa haraka sana na nipo nje ya Dar Es Salaam.
Weekend hii nilikuwa huko Mpanda mpaka Tanganyika. Nimepanga kurudi tena mwanzoni mwa July kutafuta maeneo huko mwese kwani wenyeji ndiyo wamenihakikishia uwepo wa maeneo mazuri, kwa bei nzuri 200K to 300K Kwa ekari, tena virgin land. Mtu ukipata hata ekari 50 - 100 mambo safi sana!
Muhimbili (by then Dar Es Salaam medical school then mwaka 1968 ikawa faculty of medicine of university of Dar Es Salaam) goes a way back Prof. Janabi akiwa kijana mdogo.
Graduate wa Kwanza MD Muhimbili wamemaliza mwaka 1974. Sasa niambie kama mwaka 1974 tayari Janabi alikuwa ameshakuwa daktari.
Jino huwa linamaumivu ambayo hayavumiliki. Nakumbuka 2014 lilinisumbua panadol ikagoma kufanya kazi, nikawa nakaa na chupa ya chai imejaa maji ya uvuguvugu naweka mdomoni natulia, mwanzoni ilisaidia lakini mwishoni ikagoma. Siku ya mwisho sikulala, Kesho yakee asubuhi niliamkia hospitality.
Jino...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.