Mimi nauza simu used hakuna uchawi wala nini watu wanafuata mteremko tu,uchawi labda tukuachie wewe mtoa mada unaowatumainia binadamu wenzako [emoji28]hao waganga mbona hawapo kwenye List yeyote ya mabilionea?
Unajua watu wengi wamekuwa wanajiuliza ni kwanini Watanzania wengi wamekuwa wakiishi bila vibali maalumu kwenye nchi za wenzetu na kuonekana ni wazembe sana!
Nimezunguka nchi kadhaa lakini ngoja leo nikupe mfano mdogo tu wa nchi jirani Mozambique [emoji1174] uone ni jinsi gani kuishi kialali...
Inaonekana hujawahi kusafiri ama ulisafiri ukapita tu Malawi ama zambia!,mwananchi ambaye hapelekeshwi ni msouth Africa pekee lakini wa Malawi wajinga tu hawana lolote kidogo nafuu ni zambia maana kule wanafuata sana sheria sio kwa mgeni wala mwenyeji
Mtoa mada ana utajiri wa kula milo mitatu kwa siku wewe mwenyewe unajua jinsi ilivyo ngumu Africa kupata hata mlo mmoja na bando la kuperuzi JamiiForums [emoji851]
Niambie Luis miquison alikuwa anagombewa na nani?,inonga alikuwa anagombaniwa na nani?,chama alikuwa anagombaniwa na nani walivyokuwa wanataka kutua simba?ukiwa shabiki wa utopolo fc lazima akili zikuruke
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.