Jamn eee mwenye tv aina ya flat screen mtumba maeneo ya moshi mjini na maeneo ya kcmc kwa moshi kwa 150000 za kitanzania anitafute kwa e mail hii msellefreddie@gmaim.com
Nimepata habari kuwa nyufa za jengo cha chuo kipya cha uwalimu North highland Moshi zimepasuka na kuwa baadhi ya wanafunzi wamelekwa Hospitalini kutokana mshtuko mbalimbali.Jamani mwenye habari zaidi kuhusu hili atueleze tafadhali na pia nikuwa wanafunzi hao wanahimizwa kurudi ndani ya Jengo...
Marangu!!!!!yaani adi sisi wachagaa wenywe very keen kwenye kuchagua wachagaa wenzetu?yaani tuna amini wachaga wa kutoka marangu,rombo,machame..na sehemu nyingine kutoka huku huku uchagani nishidaa....labda mchanga wa Uri,au kibosho ndani angalau lkn hao wengine niwakupitia na kuacha.Anyway huyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.