Recent content by mutufulani

  1. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli anazidi kuthibisha sio mwanasiasa

    Treni lishanyanyuka hilo break ni mpaka lifike kigoma likikosa mwendelezo wa reli.acha lipige kazi tuangalie tofauti itakua wapi na walopita,hao wastaaf walishafanya yao na walitufikisha hapa tulipo,ngoja huyu naye atufikishe anapotupeleka,then tutafanya tathmini badae.NO BREAK HERE.
  2. M

    JamiiForums Tanzania ARDHI,MH LUKUVI HILI KIANGALIWE.

    Kinachosikitisha ni kwamba serikali inapambana watu wajenge sehemu zilizopimwa lakini ukiwa na eneo lako,ukihitaji kupimiwa unakuta gharama za upimahi ni kubwa kuliko hat bei ulonunulia eneo,Tunaomba gharama za upimaji maeneo ziangaliwe na pia kasi ya serikali ya kupima viwanja/maeneo ktk kila...
  3. M

    JamiiForums Tanzania NHC: Nyumba 5,000 za bei nafuu kwa wote! Nyumba yangu, Maisha Yangu!

    Jipu hilo limeiva,waziri alowekwa hapo aanze kazi rasmi kulitumbua hao waingie mahakama ya mafisadi fasta.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Siri yafichuka: Wabunge wanne walioteuliwa walikataa uwaziri

    Kama kweli wamekataa ujue ukombozi umekuja na pia nawasifu kwa kua wanajitambua.wameona hawawezi kwenda na kasi yake,na itakua historia,haijawaha mtu apewe uwaziri akatae wakati miaka ya nyuma hata kwa waganga walikua wanaenda ili waupate,kipindi hiki hata dili la waganga limegonga mwamba,hapo...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mchakato Mahakama ya Mafisadi waanza

    Sio kwa mafisadi walopita labda ni kwa watakaoanza kufanya ufisadi katika serikaki hii mpya
  6. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO toeni ufafanuzi kwa wananchi kuhusu riba hii

    Jamani naomba kufahamu kama ni hujuma au ni agizo kuroka HQ Tanesco kwa kuwa huku sasa ni kuibia wananchi. Nina karibia miaka 4 sasa tangu nimebadilishiwa meter kutoka conventional kuja LUKU na nilikua na deni nikaambiwa litakuwa likikatwa kila ninaponunua Luku hadi liishe. Na ni kweli kila...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Mpango fungua ukurasa mpya wa hii kodi ya Road License

    Yes sir
  8. M

    JamiiForums Tanzania Sikutegemea Magufuli unaweza kumtikisa Barrick (ACACIA) kiasi hiki!!

    Kweli kabisa kuhusu African Barrick,sasa accacia,mimi nimefanya kazi pale process plant na nimewahi kuingia sana goldroom kufanya maintanance,kuingia kwanza ni process ndefu sana,mageti kama matano hadi kufika,mwanzoni tulikua tunawasaidia hata ku grender gold ilotoka kwenye jiko la...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wahusika wa upimwaji wa ardhi tunaomba sana mfanye kazi yenu!

    Tunaomba watu wa ardhi wanaohusika na kupima ardhi wachunguzwe pia,wananchi tukinunua maeneo au mashamba tukiomba tukapimiwe na kuangalia kama maeneo tunayouziwa hayajatengwa kwa kazi maalum. Kwanza unazungushwa, unatakiwa utoe rushwa, pili unaambiwa hela kubwa sana na tatu kama mtu alienda...
  10. M

    JamiiForums Tanzania RPC wa Mwanza Charles Mkumbo, apandishwa cheo

    Mazuri alofanya ni mengi,mbona hatujawaona mkimsifia,mnakuja na mambo ya tetesi hapa,tunataka mambo halisiausilaumu kwa unayoyasikia bali uliyoyahakikisha,na usilaumu shauri.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Mpango atinga TRA baada ya kusoma malalamiko kwenye mtandao wa kijamii

    Hakuna mahali ambapo hakuna vishoka kiongozi,nenda brela,utawakuta,nenda tanesco wapo,sokoni wapo,feri kwa mama lishe wapo vishoka,hospitalini muhimbili mwaka jana tumepeleka mgonjwa alovunjika mkono,vishoka walikuwepo wanapiga dili na madactari pale kitengo cha mifupa,stand wapo,du hiyo ndo tz...
  12. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO, Arusha mmenishangaza!

    Nimeshangaa kuomba nibadilishiwe tariff baada ya kuona matumizi yangu ni madogo kwa mwezi kuliko charges ninazochajiwa. Nilichoambiwa ni kwamba makao makuu Dar wamezuia kwa sababu watu wanaoomba ni wengi sana kwa hiyo form za maombi hayo ni nyingi sana hapo ofisini hata hazitashughulikiwa, eti...
  13. M

    JamiiForums Tanzania CDA Dodoma ichunguzwe

    Rais, tunaomba uichunguze CDA Dodoma watu wamedhulumiwa sana maeneo yao na wapo viongozi wana viwabja vingi mno wamejipatia visivyo halali.
Back
Top Bottom