mutufulani
Member
- Nov 30, 2015
- 13
- 1
Kinachosikitisha ni kwamba serikali inapambana watu wajenge sehemu zilizopimwa lakini ukiwa na eneo lako,ukihitaji kupimiwa unakuta gharama za upimahi ni kubwa kuliko hat bei ulonunulia eneo,Tunaomba gharama za upimaji maeneo ziangaliwe na pia kasi ya serikali ya kupima viwanja/maeneo ktk kila manispaa na halmashauri iongezeke na kwendana na kasi ya hari walionayo watu ya kujenga.wahusika wanakaa tu maofisini na kusubiri rushwa ndo wakapime maeneo,hii sio sawa na ndo sababu kubwa ya miji mingi kujengwa bila mpangilio halafu mnakuja kuwavunjia,sio ustaarabu.