mutufulani
Member
- Nov 30, 2015
- 13
- 1
Nimeshangaa kuomba nibadilishiwe tariff baada ya kuona matumizi yangu ni madogo kwa mwezi kuliko charges ninazochajiwa.
Nilichoambiwa ni kwamba makao makuu Dar wamezuia kwa sababu watu wanaoomba ni wengi sana kwa hiyo form za maombi hayo ni nyingi sana hapo ofisini hata hazitashughulikiwa, eti kama nataka nitoe elfu 70 nibadilishiwe juu kwa juu.
Nimekataa, naomba tujue kama kweli makao makuu ndo wametoa hilo agizo, pia kwanini mtu alipishwe gharama ambazo ni mara 2 ya matumizi yake kama service charge na kodi?hii ni TANESCO ARUSHA.