Recent content by MUTTAZ

  1. MUTTAZ

    Mabati ya ALAF yako overated sana

    Ukiwa TAZARA chukua barabara ya Nyerere kuelekea Posta nadhani nikabla ya RTD/TBC siku hizi kuna barabara moja matata sana kwa kifupi ni korofi sijui siku hizi hiyo barabara inainga mkono wa kulia kama upo barabara ya Nyerere kuelekea Posta. Au ukifika TAZARA Uliza tu kiwanda cha ALAFU KIPO WAPI...
  2. MUTTAZ

    Mabati ya ALAF yako overated sana

    Alafu ukiangalia hao wachina bei zao zinakaribiana na ALAF kwa mabati wanayouza kwa Mita kuna utofauti mdogo sana!
  3. MUTTAZ

    Mabati ya ALAF yako overated sana

    Hiyo haiuzwi kwa Bandle Kiongozi namm nilichukuwa bati kulingana na uhitaji wangu so walinikatia kulingana na uhitaaji wangu kulikuwa na za mita moja moja, mbili na nusu, za mita tatu hadi mita sita kama sio sita ni saba so ilikuwa inategemea na kila upande wa paa una urefu kiasi gani na bati...
  4. MUTTAZ

    Mabati ya ALAF yako overated sana

    Sijasema kuzungushwa umbali mrefu ndo ubora kiongozi! Mimi nimezungumzia ALAF kwa sababu nimeliezekea na kiwandani nilipata fursa japo ya kushangaa nini kinafanyika au wewe umeezekea bati gani kiongozi
  5. MUTTAZ

    Mabati ya ALAF yako overated sana

    Binafsi mm nalikubali bati la ALAF na ndilo nililoezekea nyumba na nilienda kuchukuwa kiwandani kwa vipimo nilivyokuwa navihitaji, asikwambie mtu bati lina miaka minne kasoro lakini utaliona chafu kipindi cha kiangazi kama lina vumbi hivi sasa ngoja mvua inyeshe utadhani ngozi ya nyoka...
  6. MUTTAZ

    Tatizo la pingiri za uti wa mgongo

    Hakika Kiongozi!
  7. MUTTAZ

    Tatizo la pingiri za uti wa mgongo

    Sijatoa tangazo ila ni baada ya kuona kuna tatizo japo laweza onekana kama tangazo kiongozi! Mimi nimetoa ushuhuda wa kile nilicho shuhudia.
  8. MUTTAZ

    Tatizo la pingiri za uti wa mgongo

    Rejea uzi kiongozi ushiie kwenye heading tu!
  9. MUTTAZ

    Tatizo la pingiri za uti wa mgongo

    Wana jukwaa habarini za leo Napenda kuongea nanyi juu ya hili tatizo ambalo sikujua kama ni tatizo kubwa hadi pale ndugu yangu mwanaye alipougua. Ipo hivi; ndugu yangu anavijana wanne na kati ya hao kijana wake wa pili ambaye mwaka jana alikuwa darasa la saba alianza kusumbuliwa na mgongo ila...
  10. MUTTAZ

    Ushauri: Mwanaume anataka kunioa lakini ana maumbile madogo

    Ndicho hata mm nilichofikiria kiongozi! kwamba kwa huyu njemba hatofaidi so walau angefaidi kwa watoto
  11. MUTTAZ

    Ushauri: Mwanaume anataka kunioa lakini ana maumbile madogo

    Nawewe naye kama Punguani yaani unapenda maumbile madogo ya mume wako mtarajiwa ila hupendi maumbile madogo kwa wanenu watarajiwa, kwani unatarajia maumbile ya wanao yakuhudumie wewe pia au? Wewe sema tu hupendi hayo maumbile!
  12. MUTTAZ

    Maandamano ya Aprili 26, 2018: Yanayojiri kutoka maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi

    Sisi huku ndo tunaona mambo a kijinga ila kiukweli hawa wenzetu waishio huko majuu kitu kama hiki wanakipenda sana kutokana na nchi wanazoishi kuwa na democrasia thabiti! Tena hawa wa je ndo wanaweza kuacha kazi hata mwezi ili waandamane!
  13. MUTTAZ

    Kati ya CAG na TAKUKURU ni yupi tumeona athari yake?

    TAKUKURU wafanye kazi yao kiongozi au wewe unasemaje?
  14. MUTTAZ

    Mtoto kukosa Choo

    Ondoa wasiwasi ipo siku atakunya tu! Ila kama anatumia maziwa mbadala na humpi maji, jitahidi sana kumpa maji, hata kama anatumia maziwa ya mama na maziwa mbadala kwa wakati mmoja!
Back
Top Bottom