Tatizo la pingiri za uti wa mgongo

MUTTAZ

JF-Expert Member
Feb 27, 2016
296
237
Wana jukwaa habarini za leo

Napenda kuongea nanyi juu ya hili tatizo ambalo sikujua kama ni tatizo kubwa hadi pale ndugu yangu mwanaye alipougua.

Ipo hivi; ndugu yangu anavijana wanne na kati ya hao kijana wake wa pili ambaye mwaka jana alikuwa darasa la saba alianza kusumbuliwa na mgongo ila bahati nzuri akafanya mtihani wake wake wa darasa la saba na matokeo yakatoka akiwa amefaulu, hivyo mwaka huu alistahili kuwa kidato cha kwanza na hadi tuongeavyo hajakanyaga shule.

Huyu bwanamdogo aligundulika pingiri za Uti wa mgongo zimesagika hivyo akapelekwa Mhimbimbili kwa uchunguzi zaidi, Mhimbili wakashindwa kumfanyia operation kwa sababu ya umri wake kwamba endapo angefanyiwa operation basi asingeendelea kukua hivyo wazazi wake wakaambiwa aidha apelekwe India au asubiriwe afikishe umri ambao utaruhusu hiyo operation ifanyike, dogo akarudishwa nyumbani.

Na kipindi anarudishwa nyumbani tayari dogo akawa ni mtu wa kutembea kwa magongo tu yaani kwa kifupi nikama alikuwa mlemavu, kama sio sio magongo basi muda wake mwingi ukawa niwakulala tu.

Mungu saidia siku moja babake akakutana na mganga huyu wa miti shamba yeye husema anatumia mimea ya Mungu kutibu matatizo mbalimbali. Huyu Mganga akamwanzishia dogo dawa kwa muda wa week tatu dogo akaanza kutembea bila kutumia magongo ila tatizo likawa kwenye kupepesuka kwa sababu alishazoea magongo kwa muda mrefu. Baada ya dogo kupata ahueni alirejeshwa tena Mhimbili na safari hii Mhimbili walikuwa tayari kufanya operation na huku wakimwambia mama wa mtoto kuwa nyie niwachawi nyie huyu mtoto mmemfanyaje. Na opeartion ya sasa sio tena ya Uti wa mgongo bali nikwaajili ya kubalance miguu kwani dogo mguu mmoja ni mfupi kwa sentimita nne na mwingine ni mrefu kwa sentimeta nne.

Kilicho nifanya nikauleta huu uzi hapa ni;

Moja, hili tatizo nikubwa sana kwa watu walio wengi hapa nchini hasa akina mama, binafsi sikulijua hili watu kusagika pingiri za uti wa mgongo au kuwa na nafasi kati ya pingiri moja na nyingine au zimepandana au zina nyama katikati.

Pili, nilipata nafasi ya kuongea na mzee husika na hitaji langu kuu nikutaka kufahamu kama amewahi kufika Mhimbili kwa kitengo husika ili ashirikiane nao kulitatua tatizo husika. Hapa mzee akanambia Mhimbili sio watu wazuri aliwahi kwenda ila wakahitaji apeleke dawa zake zikafanyiwe utafiti na mbaya zaidi ukizipeleka dawa zako wewe unasahaulika na wala hutoitwa watakachokifanya nikuingiza kwenye machine ambayo ukiweka tu dawa husika inakupa hadi mmea so mzee kwa suala la kupeleka dawa yake Mhimbili likaonekana kuwa gumu.

Tatu, ninaamini mmoja au wawili mwaweza kuwa mmepitia changamoto ya aina hii na Hospital zimeshindwa kukabiliana nayo, nilimuomba mzee kama hatojali nieleze habari zake na ktoa namba zake, akasema maadam yeye yupo kusaidia na yupo tayari hata serikali impe wagojwa watatu awatibu bureeeeeeee ili tu watu wenye tatizo husika wasilazwe muda mrefu bila matibabu, so kwa atakayehita kupata hata mwanga au mwenye maswali zaidi naomba awasiliane na mzee huyu kwa namba hizi 0767212315 au 0788 212315.

Ahasanteni sana kwa kuwa pamoja nami kwa uzi huu!
 
Naomba Nikuulize Mkuu,hizo Dawa ni Za Kunywa au Kupaka?
Tahadhari pia,sasa hivi watu wengi wanakufa kwa Kutumia Dawa za Kienyeji kwasababu Hazina Vipimo na Kuzidisha Sumu Mwilini hivyo kuoelekea Figo na INI Kufeli....
Pia Mkuu Mimi Nasumbuliwa na Mgongo,back Pain Maumivu ya Mgongo kutokana na Kazi,Sijawahi pata ajali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom