Recent content by muttamwombe

  1. M

    Kalenga ni mdede kijana machachari kutoka tahliso hadi ubunge.

    Huyu kijana Ni mfano WA wale vijana wanamapinduzi kina Ernesto che Guevara...ni mpambanaji haswa!
  2. M

    Kalenga ni mdede kijana machachari kutoka tahliso hadi ubunge.

    Huyo huyo kashindwa mkuu wana kalenga wameamua ...kwa sasa kilichobaki Ni kuunganisha nguvu ili wapiganie maslahi ya wana kalenga chini ya mbunge MDEDE
  3. M

    Kalenga ni mdede kijana machachari kutoka tahliso hadi ubunge.

    kalenga Ni mdede! Ni Mara baada ya wajumbe kumpigia kura za ndio 66 Dhidi ya mpinzani wake Sankara aliyepata kura 65! Ni kijana machachari akitokea kuwa rais WA serikali ya wanafunzi CUHAS- BUGANDO na rais WA TAHLISSO mpaka sasa anaenda kupeperusha bendera ya UKAWA kupitia CHADEMA! Mtoto WA...
  4. M

    Dr. Slaa apokelewa uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere akitokea Marekani

    huu ni moyo wa uzalendo....hongereni mliotuwakilisha kwenye tukio la kumpoke rais wetu kipenzi anayesubiri kuingia Magogoni hapo mwezi wa 11
  5. M

    Dr. Mengi Ashtushwa na taarifa za kuiangusha serikali ya Kikwete

    kwakweli hizi habari zinaligawa Taifa ....hivi huyu mtuhumiwa yuko wapi anayeligawa taifa? ebu njoo hapa we msaliti
  6. M

    Umoja wa wanavyuo vikuu Iringa wamuomba Edward Lowassa kugombea urais

    Naandika haya nikiwa na uchungu mkubwa sana! Vijana wa sasa hivi wamekuw ana bei rahisi kama peremende! na mbaya zaidi ni kwamba ni vijana hawa hawa wanaojiita wasomi wa elimu ya juu....inanisikitisha sana mimi kama kijana niliyeko huku chuoni! Juzi wahuni flani wamejikusanya hapa Mwanza...
  7. M

    Zitto: Wabunge zaidi 50 wa vyama mbalimbali kujiunga na ACT

    sasa hivi huyu jamaa kageuka kuwa mbunge wa vyombo vya habari maana kila muda anaropoka tu kwenye vyombo vya habari.....hajui kwamba ni bora kunyamaza watu wakahisi kuwa wewe ni mpumbavu kuliko kuongea na watu wakadhihirisha upumbavu wako
  8. M

    Membe akwama kutangaza nia

    Yaan huu Ni upuuzi mtupu maana kama Ni chuki mmezidi nyie team mafisadi maana unachopost Ni upuuzi
  9. M

    Umoja wa vyuo vikuu Mwanza watangaza kumuunga mkono Lowasa

    Hapa naona uhuni uliopitiliza lakini tuko makini na ili kuthibitisha angalieni habari star tv na itv jumamos jioni! Huyu ----- WA bugando kanunuliwa na anaowajua yeye
  10. M

    Operation TIGITIGI kwa Mikoa mitano yazinduliwa

    :smile-big::smile-big:yaani mwaka huu magamba lazima wakome...#tigitigi
  11. M

    Soma alichokiongea Askofu Gwajima baada ya kutoka hospitali

    Huyu mtu asipopunguza matusi ataendelea kujivujia heshima yake kwenye jamii
  12. M

    Jukwaa la Wakristo Wapo KKKT Kanisa Kuu Dodoma Wanamjadili Kikwete sasa hivi

    kwa hali ilivyo sasa mara Gwajima anatukana mara nani anafanyaje inaonekana Taifa limegawanyika....tusifanye ushabiki tukae na kutafakari wapi tumekosea
  13. M

    Askofu Gwajima vs Cardinal Pengo: Polisi waingilia kati

    huyu Gwajima kazidi kuropoka yaani jamaa mdomo wake ni mchafu balaa maana yale maneno sio ya kumwambia kiongo mkubwa kama Pengo
  14. M

    Sio kila Mhaya ana dharau

    Uchambuzi wako ni mzuri lakini mada hapa ni kuhusu ubaguzi na ukabila
  15. M

    Sio kila Mhaya ana dharau

    Sasa unamwombaje Mungu wakati wewe unaamua kama Mungu....una usafi gani hadi uwajudge?
Back
Top Bottom