Steven Robert Masatu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2009
- 2,458
- 1,826
This is too low for Team-Lowassa!
Mkuu hebu tupe ukweli wa kilichojiri huko tamashani, hapo ndo utakuwa umepinga post ya jamaa kwa busara zaidi.
This is too low for Team-Lowassa!
Hivi lile basi alilopeleka dayosisi ya Tabora lilipokelewa?
mleta uzi ingependeza ungeweka hapa copy ya hiyo hotuba ya kutangaza nia ili watu waamini kile ulichoandika. Wachangiaji wengi wanaona kama hii habari ni umbeya Fulani toka kwa team nyingine ya mgombea. Ungeondoa huo utata kwa kuweka copy ya hotuba iliyowekwa kwapani
Simkubali Membe, lakini habari imekaa kiudaku zaidi.
Hivi kweli membe anawashauri kweli jamani huyu membe mropokaji anataka urais uwiiiiiiii, hakika Lowasa atosha* Hotuba ilibadilishwa uwanjani
* Makonda aficha kwapani hotuba
Kweli alipangalo Mungu sio alipangalo mwanadamu na siku zote mipango sio matumizi. Hii imekuja kujidhirisha katika tamasha la pasaka lililofanyika jana ambapo lengo mficho la tamasha limeshindwa kutimia.
Tamasha hilo ambalo lilifanyiwa promosheni ya nguvu liliishia kupata watu kidogo, hali iliyopelekea mgeni rasmi kuchelewa kuingia uwanjani badala ya kuingia saa 9 aliingia saa 11 jioni.
Mgeni rasmi ambaye alikuwa Waziri Membe alipanda jukwaani saa 11 na robo badala ya saa 10 kamili kama ilivyokuwa imepangwa kwenye ratiba.
Vituko vilijitokeza wakati wa kumuita mgeni rasmi jukwaani ambapo aliitwa mgeni rasmi Membe na wakati huo huo kukiendelea na maonyesho ya sarakasi ambapo watu waliishia kuangalia sarakasi na hivyo kumlazimu mgeni rasmi Membe kusimamishwa kwa zaidi ya dakika 20 jukwaani bila ya utaratibu wowote.
Mambo yalizidi kuwa mabaya zaidi kwa mgeni rasmi Membe ambaye aliambatana na Dc wa kinondoni, Paul Makonda kwa kutoshangiliwa wakati wakitambulishwa hali iliyomlazimu Membe kubadili mwelekeo wa dhamira mficho wa shughuli hiyo.
Membe alishauriwa na Makonda asitishe zoezi lake la kutangaza nia na hapo ndipo Membe alipoamua kubadilisha hotuba yake na kubuni ya amani kwa vijana badala ya ile ya kutangaza nia na kuishia kula keki ambayo iliandaliwa kwa ajili ya kujipongeza kwa tukio la kutangaza nia lililo gonga ukuta.
Kitendo kile cha kushindwa kutangaza nia kutokana na uwepo wa watu wachache uwanjani pamoja na kukosekana kwa shangwe nyingi kwa Membe uwanjani vilimnyima sana raha Membe na wakati wote alikuwa amepooza na mwenye msongo wa mawazo hadi kushindwa kwenda kuungana kucheza na mwimbaji wa kimataifa Rebecca Malope kama alivyokuwa akiombwa mara kwa mara na mc wa shughuli hiyo.
Membe alitumia jumla ya Tsh. milioni 30 kwa tamasha hilo ili aje atangaze nia lakini akagonga ukuta na haijajulikana ni lini tena atapanga kutangaza nia kwani mpaka sasa upepo wa kisiasa sio mzuri kwake.
Si kweli kwamba Membe angeweza kutangaza urais pale wakati inafahamika kuwa kwa yeye kufanya hivyo kungefungua kifungo cha Lowasa.Team Membe mnatia Huruma sana! Yaani Makonda na Nape ndo vipanga wenu? Aisee... Sikujua kama game litaishia kwenye sekunde za Mwanzo tu ... !!!!
Haihitaji ushahidi hapo .Mkuu hebu tupe ukweli wa kilichojiri huko tamashani, hapo ndo utakuwa umepinga post ya jamaa kwa busara zaidi.
Mbona Udaku tu..Jamani tutafika kwa style hii??* Hotuba ilibadilishwa uwanjani
* Makonda aficha kwapani hotuba
Kweli alipangalo Mungu sio alipangalo mwanadamu na siku zote mipango sio matumizi. Hii imekuja kujidhirisha katika tamasha la pasaka lililofanyika jana ambapo lengo mficho la tamasha limeshindwa kutimia.
Tamasha hilo ambalo lilifanyiwa promosheni ya nguvu liliishia kupata watu kidogo, hali iliyopelekea mgeni rasmi kuchelewa kuingia uwanjani badala ya kuingia saa 9 aliingia saa 11 jioni.
Mgeni rasmi ambaye alikuwa Waziri Membe alipanda jukwaani saa 11 na robo badala ya saa 10 kamili kama ilivyokuwa imepangwa kwenye ratiba.
Vituko vilijitokeza wakati wa kumuita mgeni rasmi jukwaani ambapo aliitwa mgeni rasmi Membe na wakati huo huo kukiendelea na maonyesho ya sarakasi ambapo watu waliishia kuangalia sarakasi na hivyo kumlazimu mgeni rasmi Membe kusimamishwa kwa zaidi ya dakika 20 jukwaani bila ya utaratibu wowote.
Mambo yalizidi kuwa mabaya zaidi kwa mgeni rasmi Membe ambaye aliambatana na Dc wa kinondoni, Paul Makonda kwa kutoshangiliwa wakati wakitambulishwa hali iliyomlazimu Membe kubadili mwelekeo wa dhamira mficho wa shughuli hiyo.
Membe alishauriwa na Makonda asitishe zoezi lake la kutangaza nia na hapo ndipo Membe alipoamua kubadilisha hotuba yake na kubuni ya amani kwa vijana badala ya ile ya kutangaza nia na kuishia kula keki ambayo iliandaliwa kwa ajili ya kujipongeza kwa tukio la kutangaza nia lililo gonga ukuta.
Kitendo kile cha kushindwa kutangaza nia kutokana na uwepo wa watu wachache uwanjani pamoja na kukosekana kwa shangwe nyingi kwa Membe uwanjani vilimnyima sana raha Membe na wakati wote alikuwa amepooza na mwenye msongo wa mawazo hadi kushindwa kwenda kuungana kucheza na mwimbaji wa kimataifa Rebecca Malope kama alivyokuwa akiombwa mara kwa mara na mc wa shughuli hiyo.
Membe alitumia jumla ya Tsh. milioni 30 kwa tamasha hilo ili aje atangaze nia lakini akagonga ukuta na haijajulikana ni lini tena atapanga kutangaza nia kwani mpaka sasa upepo wa kisiasa sio mzuri kwake.
Si kweli kwamba Membe angeweza kutangaza urais pale wakati inafahamika kuwa kwa yeye kufanya hivyo kungefungua kifungo cha Lowasa.
Mtazamo huo ni wa watu dhaifu.
Tafuta kitu kingine cha kumsema Membe
Ukweli ni kwamba Membe hana sifa za Urais wala Lowasa hana sifa za urais
Vita hii ya Lowasa ma Membe inawafanya watu washindwe kufikiria mtu wa kulikomboa taifa.
Kwa sasa mtu akitaka pesa lazima amuunge mkono Lowasa!!