Recent content by mutimba

  1. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nipo Tanga Jiji (Mwalimu IIIA) anayetaka tubadilishane niende wilaya ya Hai.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tunauza miche ya miti aina ya mitiki kwa bei nafuu sana

    Tafadhali ingia google, angalia Tectona glandis tree species utapata majibu yako yote!
  3. M

    JamiiForums Tanzania MWANZA: Watu 12 wafariki, Watatu waokolewa baada ya Hiace waliyokuwa wakisafiria kuzama Ziwa Victoria

    Ndugu na jamaa wa wafıwa polenı sana!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ndesamburo aagwa kwa mara ya pili

    Utangulie kwa amani Mzee Ndesamburo!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri jijini Arusha katika kuaga Miili ya Wanafunzi wa Lucky Vincent waliopata ajali ya gari

    Mungu awape pumziko la amani waja wake! Amen!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji line ya Tigo-Pesa

    Ninahitaji line ya Tigo-pesa, niko Tanga. Kwenye kuweza kunisaidia tuwasiliane!
  7. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mwanahabari mkongwe, Bi Sarah Dumba afariki dunia ghafla akiwa Njombe

    RIP Sarah Dumba
  8. M

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Natumai mnaendelea na kazi vizuri. Nina dukuduku langu kuhusu utoaji wa mikopo kwa watumishi kama mimi, kwani nimeomba mkopo katika bank yako na kukamilisha taratibu zote na kuwasilisha fomu kwa Afisa Mikopo tangu 23/09/2015 hadi sasa sijapata. Ni ajabu kwamba inachukua muda mrefu kiasi hicho...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ali Karume atangaza rasmi Tanganyika na Zanzibar kuongozwa kijeshi kama serikali mbili zitakataliwa

    Duh,tumefika huko? Ni wakati wananchi waachwe waamue Hatima ya nchi Yao bila kutishwa!!!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tupia lako ulilosoma kwenye gari...

    Mjini tabu!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Asus vivo tablet bluetooth

    Tablet yangu haikubali kutuma/kupokea mafaili kwa njia ya bluetooth pamoja na kuwa uwa imeunganishwa kwenye kifaa kama Kompyuta au simu ninayotaka kutuma faili! Ninaomba msaada kwa wajuzi wa mambo haya hapa JF!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Msaada simu Nokia Lumia 510

    Okay,nashukuru kujua hilo na nitaendelea kuitumia nikitafuta ufumbuzi WA kudumu!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Msaada simu Nokia Lumia 510

    1. Ninapoitumia hasa kwenye internet inapata joto sana na charge haikai muda mrefu inazima. 2. Wakati mwingine inaishiwa charge wakati IPO kwenye kuchaji! 3. Tatizo hili limeanza zaidi ya juma moja wakati nimeitumia miaka 2 bila usumbufu! 4. Anayejua jinsi ya kutatua tatizo anisaidie tafadhali.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kati ya Ridhiwani Kikwete na Keinelugaba Muhozi?

    Nchi ya wachoma mihogo kila mtu na kamuhogo kake! Yako mengi ya kujifunza na kuona siku zijazo....
  15. M

    JamiiForums Tanzania Manyoni: Basi la Bunda lagongwa na treni na kuua

    Mungu awajalie afya njema majeruhi wote na awarehemu marehemu wa ajali hiyo! Amina!!!
Back
Top Bottom